Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Jamani hali ni mbaya kuliko maelezo. Ehe mungu wangu tunaomba mvua zinyeshe, la sivyo njaa itatuangamiza watoto wako. Niliwahi sikia huko miaka ya nyuma tatizo la kutopatikana Kwa mvua ilibidi wazee wa kimila wakae ili watengeneze vitu vyao mvua inyeshe. Kaeni basi.