rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,069
- 25,744
Mbowe anachukua posho bungeni bila kuhudhuria bunge halafu anataka kuwe na lockdown anatufanya sisi mazuzu ni kweli watu wengi watakufa kwa njaa kuliko corona
Hawa wazee wanajitambua.
Ujinga mtupu. Kwani lazima iwe lockdown ya kutotoka nje? Kuna lockdown ya eneo, mipaka ,n.k. Kwani kuzuia watu wasiende Dar kwa wiki mbili tatizo ni nini?Kuzuia mipaka tatizo ni nini?Mbowe anachukua posho bungeni bila kuhudhuria bunge halafu anataka kuwe na lockdown anatufanya sisi mazuzu ni kweli watu wengi watakufa kwa njaa kuliko corona
Nyie mmewapa mavi?Duh kumbe Mbowe atawapa mpunga?
Sasa si uende ukamuulize tu?Amepewa shilingi ngapi kwani huyu mzee?...
Mbowe keshakufundisha hii lugha ya kihuni sio?Nyie mmewapa mavi?
Lugha ya kihuni ndiyo ipi?Mbowe keshakufundisha hii lugha ya kihuni sio?
Kilimanjaro kuna wanaoitwa Wazee wa kichaga? Tangu umangi uondoke hakuna habari ya mzee au machief tena. Hizi ni propaganda. Wazee wako umasaini. Uchagani uzee ni Pesa na sio umri.Du jamani hili? Wazee lakini utasikia kuwa hata hawa wazee wamenunuliwa, Mzee wa mgombani anunuliwe? jamani si bure kunamchawi tu atakuwa amewafunga Chadema hadi na vijana wote maana bado vijana wa Ufipa wanaaminia Mboe yupo sahihi hawataki hata kuumiza vichwa ni siasa nyepesi tu eti wamenunuliwa.
Tusaidieni sisi jamani tunapenda hata upinzani uwepo kwani inapendeza.
Kama kweli wanasiasa wanapambana kila siku ni niaba ya wananch Basi Sio wanasiasa wa Tanzania Mana kwa kila namna inaonesha kabisa upinzan Tanzania unapambana na serekal.,CCM ,na wananch.na njia walio amua kuitumia ni njia mbaya Sana ambayo itafanya hata wakichukua nch uongoz wao usidumu madarakan
Mbowe unatakiwa uwasikilize wazee wako ambao wote nafikir wapo umr wa baba yako au Babu yako wanapo amua kujitokeza mbele ya midia na kujaribu kukukanya kwa Mambo yako unayo yafanya na wenzako nawe ukakaid Basi ujue mkaid hato faid mpaka siku ya idd pia mh mbowe jua hao ndio wanach wanao kupigia Kura jimbon kwako hutakiw kuwaacha ningependa muda huu kila mbunge angekua labda kwenye jimbo lake akiwaelekeza na kutoa elim kwa wananch wake jinsi ya kujikinga na Corona Kwan ugonjwa wa Corona si ugonjwa unao itaji Mambo mengi Ila unaitaj elim tu ya jins ya kujikinga
Sio viongoz mnakaa kila siku mnapost mitandao na kuishambulia serekal mkae mkijua kwamba sisi wote mitandaon tunajua kwamba Corona ipo inaua vip wananch wenu wa vijijn walio wachagua wao mnawaachaje au mnamsubir serekal isimamie kila kitu alafu kwenye kampen mwende mkawaombe Kura
Je kwa maneno haya wanayo ongea wazee wa machame mtapata Kura na vip mmeyafanyia Kaz au mnamsubir mje mseme wametumwa na CCM?
Kama mtasema ivyo Basi na kwenye uchaguz mkishindwa mseme pia walio waangusha wametumwa na CCM
Ifikie hatua Tanzania tue na siasa Safi Sio saiz hatujishughulish na wanach kwenye il janga Ila tuko bize na kuilaum serekal et watu wanakufa wakat tunajua kabisa dunia ipo kwenye hali gan sasahivi Kuna nchi kwa siku wanakufa watu 3000 na hamna mtu anae mlaum mwenzake Ila Tanzania sasaiv upinzan mmekua wapost misiba na vifo. Mkae mkijua Kama ntaendelea iv mjue kabisa mnazid kuipa serekal nguvu kwa wanach sababu itaonekana kua hata nyie tegemez lenu katka kutatua matatizo ni serekal ambayo ni ya CCM so watu tutaona hata uongozi Bora unatoka CCM tu
Mbowe embu wasikilize Hawa wazee wanacho kushaur kutoka kwao unaweza kupata muongozo mzuri wa harakat zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi huu UZUSHI mnasomea wapiHawa wazee wamepewa 5,000 na DC wa Hai mbona iko wazi inajulikana....
Hawa wazee wamepewa 5,000 na DC wa Hai mbona iko wazi inajulikana....
Huyo mzee anataka kujionyesha kuwa anajua kusoma. Hata hivyo ccm wanataka kutuharibia wazee wetu