Wazee wa kimachame wamcharukia Mbowe

Wazee wa kimachame wamcharukia Mbowe

Hili tukio la mkuu wa nchi kukimbizwa kwenda kijijini ni kutangaza kuwa kuna gonjwa la hatari sana.

Tukio la kukimbia toka mjini kutokana na gonjwa ni marudio katika historia ya binadamu katika harakati ya kujiokoa.

Katika muhadhara wa public health katika chuo Kikuu maarufu cha Yale, Prof. Snowden anasimulia.

Hivyo tulioachwa mijini tukio hili tusilichukulie kwa urahisi bali ni ujumbe tosha tuchukue tahadhari kwani mkuu wa nchi ameshauriwa ahame kwa muda toka Dar es Salaam na Dodoma ktk mawe kwani kuna hatari kubwa ya gonjwa hili hatari.

00:00 - Chapter 1. Responses to the Plague and Miasmatism 09:05 - Chapter 2. Individual Measures of Self-Protection and Scape-Goating 18:52 - Chapter 3. Religiosity 25:51 - Chapter 4. Organized Public Health Measures 37:25 - Chapter 5. Did the Public Health Measures Succeed?
Source: Yalecourse
 
Kuna mshahara wa wiki mbili?. Ndiyo maana biblia inasema heri kijana Mwenye hekima.
 
Kuna mshahara wa wiki mbili?. Ndiyo maana biblia inasema heri kijana Mwenye hekima.
Hawa ndio SPIKA aliowaambia wasiogope atawatetea!!! Hawatafukuzwa bungeni wala nini watakingiwa kifua na SPIKA! Ndio maana LHRC wanataka wamshtaki SPIKA kwa kuvunja katiba waziwazi.
 
Nawashauri hawa wazee wavae hata barakoa wanapohojiwa na wadhibiti hao wanaotoka mjini wasiwasogelee, takwimu zinasema huu ugonjwa ni hatarishi zaidi kwa wazee. Tuwalinde wazee wetu !
 
Hawa wazee wanajitambua.


Huyo mzee lazima ameshakunja chake cha kitochi ukiitishwa uchaguzi anachagua CHADEMA. Hao wazee wa Kichagga ni shida sana. Wao wanaangalia mpunga tu. Hapo Mbowe akienda na risala yake ya kuisema serikali makosa yake akawapa mpunga wanasoma kiroho safi kama siyo wao vile waliokunja mpunga wa DC Mmasai
 
Huyo mzee lazima ameshakunja chake cha kitochi ukiitishwa uchaguzi anachagua CHADEMA. Hao wazee wa Kichagga ni shida sana. Wao wanaangalia mpunga tu. Hapo Mbowe akienda na risala yake ya kuisema serikali makosa yake akawapa mpunga wanasoma kiroho safi kama siyo wao vile waliokunja mpunga wa DC Mmasai
Duh kumbe Mbowe atawapa mpunga?
 
Nilishasema CHADEMA imebaki JF tu. Siku za nyuma hakuna mtu alitegemea haya kutokea
Unadhani huko machame hakuna wazee Wa ccm hata kura za ubunge kwani mbowe alipata kura zote? Hapana hao ni makada Wa ccm
 
Mbowe anakula ruzuku mwisho October

Baada ya hapo arudi kwenye udj, hatakuwa na mbunge hata mmoja
Hapo itakuwa hasara ya nani? Kwani nani asiyejua hilo? Kwani ni lazima chadema iwe na mbunge? wa nini wakati hata wakitoa mawazo yao hawasikilizwi?
 
Back
Top Bottom