Wazee wa kimachame wamcharukia Mbowe

Wazee wa kimachame wamcharukia Mbowe

Kama kweli wanasiasa wanapambana kila siku ni niaba ya wananch Basi Sio wanasiasa wa Tanzania Mana kwa kila namna inaonesha kabisa upinzan Tanzania unapambana na serekal.,CCM ,na wananch.na njia walio amua kuitumia ni njia mbaya Sana ambayo itafanya hata wakichukua nch uongoz wao usidumu madarakan

Mbowe unatakiwa uwasikilize wazee wako ambao wote nafikir wapo umr wa baba yako au Babu yako wanapo amua kujitokeza mbele ya midia na kujaribu kukukanya kwa Mambo yako unayo yafanya na wenzako nawe ukakaid Basi ujue mkaid hato faid mpaka siku ya idd pia mh mbowe jua hao ndio wanach wanao kupigia Kura jimbon kwako hutakiw kuwaacha ningependa muda huu kila mbunge angekua labda kwenye jimbo lake akiwaelekeza na kutoa elim kwa wananch wake jinsi ya kujikinga na Corona Kwan ugonjwa wa Corona si ugonjwa unao itaji Mambo mengi Ila unaitaj elim tu ya jins ya kujikinga

Sio viongoz mnakaa kila siku mnapost mitandao na kuishambulia serekal mkae mkijua kwamba sisi wote mitandaon tunajua kwamba Corona ipo inaua vip wananch wenu wa vijijn walio wachagua wao mnawaachaje au mnamsubir serekal isimamie kila kitu alafu kwenye kampen mwende mkawaombe Kura

Je kwa maneno haya wanayo ongea wazee wa machame mtapata Kura na vip mmeyafanyia Kaz au mnamsubir mje mseme wametumwa na CCM?
Kama mtasema ivyo Basi na kwenye uchaguz mkishindwa mseme pia walio waangusha wametumwa na CCM

Ifikie hatua Tanzania tue na siasa Safi Sio saiz hatujishughulish na wanach kwenye il janga Ila tuko bize na kuilaum serekal et watu wanakufa wakat tunajua kabisa dunia ipo kwenye hali gan sasahivi Kuna nchi kwa siku wanakufa watu 3000 na hamna mtu anae mlaum mwenzake Ila Tanzania sasaiv upinzan mmekua wapost misiba na vifo. Mkae mkijua Kama ntaendelea iv mjue kabisa mnazid kuipa serekal nguvu kwa wanach sababu itaonekana kua hata nyie tegemez lenu katka kutatua matatizo ni serekal ambayo ni ya CCM so watu tutaona hata uongozi Bora unatoka CCM tu

Mbowe embu wasikilize Hawa wazee wanacho kushaur kutoka kwao unaweza kupata muongozo mzuri wa harakat zako


Sent using Jamii Forums mobile app

Nawafahamu sana wazee wa Ki-Machame. On their dead bodies hawawezi kusema maneno yale dhidi ya Mbowe. Hicho ni kikundi kimelishwa maneno na hela ya mbege ili vikaropoke. Mbowe ma familia wana heshima sana iliyojengeka historia. Hawawezi kufanya huo ujinga
 
Nimeamini maccm hayana akili.mbinu za 1997 kurudi nyuma wanatumia kipindi hiki😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom