Huu ndio mwanzo wa anguko la ccm. Wameficha uchafu wao chini ya zulia, umekuwa mwingi sasa umegeuka kifusi. Kila mtu ameuona, hata wa kule vijijini ambapo ccm walikuwa wanaamini kuwa ni ngome yao kubwa.
Siku ccm ikianguka ndiyo utakuwa mwisho wa RA kuishi hapa tanzania. Hata yeye anatambua hivyo na sitashangaa kama tayari ameshaandaa mahali pa kuishi nje ya nchi.
Mimi nashindwa kuelewa, kama watu wamechukizwa na maamuzi ya chama kwanini wanakingangania, hawa pia ndio sababu kubwa ya kutokuwa na mabadiloko, nchii