Wazee wa Igunga waja juu kuhusu Rostam

DECRO

Member
Nov 6, 2010
9
0
Wananchi wa igunga wamekuja juu juu ya uteuzi wa rostam kugombea ubunge. hebu tizama hii clips

Last edited by a moderator:
Huu ndio mwanzo wa anguko la ccm. Wameficha uchafu wao chini ya zulia, umekuwa mwingi sasa umegeuka kifusi. Kila mtu ameuona, hata wa kule vijijini ambapo ccm walikuwa wanaamini kuwa ni ngome yao kubwa.
 
Rostam ndiye anayeivuruga nchi.
Na ndiye mtu anayechukiwa zaidi kuliko kiongozi yeyote nchi hii.siku moja atalipa maovu yake.
 
Hii post ya siku nyingi saana. Mbona hayakudhihirika wakati wa uchaguzi kwani vyama vingine havikusimamisha mtu? Halafu chanzo cha habari sasa?
 
Siku ccm ikianguka ndiyo utakuwa mwisho wa RA kuishi hapa tanzania. Hata yeye anatambua hivyo na sitashangaa kama tayari ameshaandaa mahali pa kuishi nje ya nchi.
 
Hii post ya siku nyingi saana. Mbona hayakudhihirika wakati wa uchaguzi kwani vyama vingine havikusimamisha mtu? Halafu chanzo cha habari sasa?
ni kweli kabisa mkuu... kwa hili tuko pamoja
 
Hii post ya siku nyingi saana. Mbona hayakudhihirika wakati wa uchaguzi kwani vyama vingine havikusimamisha mtu? Halafu chanzo cha habari sasa?
Siku nyingi ngapi? Miaka mingapi? Je walitengua malalamiko yao? Lini na wapi?
 
Mimi nashindwa kuelewa, kama watu wamechukizwa na maamuzi ya chama kwanini wanakingangania, hawa pia ndio sababu kubwa ya kutokuwa na mabadiloko, nchii
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom