Rostam Aziz alipokuwa Mhazini wa CCM alitamani kuwa Waziri wa Fedha, Bora wangempa tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,115
Yaani kuna wakati najiuliza Sababu za Lowassa kukataliwa na CCM kuingia kwenye kinyang'anyiro 2015 nashindwa kuzipata

Namsikiliza Hapa Dr Mwigullu PhD nashindwa kuelewa Kwanini Rostam Aziz hakupata uteuzi wa Uwaziri wa Fedha alipokuwa Mbunge wa Igunga

Nayaona maono ya Akina Laigwanani na Aziz ndio yanashangiliwa sana sasa

Mungu wa mbinguni atusaidie!
 
Back
Top Bottom