Wazee wa East Africa wazua tafrani jijini Dar

Hivi hii nchi kweli hatuna senior citezens????? Bila wao tusingekuwa tulivyo. They did everything for us, why?? why?? why?? Why dont we do something for them once and for all????

Its a shame, a curse to all of us.


Unampiga babu yako, bibi yako, mama yako, baba yako teke, ngumi, kirungu na bomu la machozi, whatever where are we going!!!!!

Lets get sobber and finish this thing once and for all, as Tanzanians we cannot fail to do it, unless there is something behind, its a shame and a a big one for that matter.

Au tuanzishe michango kama ya mafuriko ya Kilosa??? Mwanakijiji, vodacom foundation where are you????


Kama tunaweza kuwapa watoto walio katika mazingira magumu mbuzi, mchele, sabuni na mafuta kwa nini tusiwafikirie hawa wazee waliodhulumiwa na serekali wanachodai kwani ni stahili yao????
 
Hivi hii nchi kweli hatuna senior citezens????? Bila wao tusingekuwa tulivyo. They did everything for us, why?? why?? why?? Why dont we do something for them once and for all????

That is my question and the only answer I can offer is half secret. Half secret because I have leaked some info that I will vote out Sisi em


Its a shame, a curse to all of us.
Shame and curse to us all?? for what??
Kaka punguza munkari!
 
You can not solve the problem at the same level it was created. Tatizo limewashinda maana hawana new ideas za kulimaliza. Inawezekana wamekuwa wanalipa hao wastaafu ila hela zinaishia kwa watu wasiokuwa wastaafu halali wa EA.
Hata hivyo kwa upande wa pili, hawa wazee miaka yote hii si wangelifanya kazi nyingine na kupata zaidi ya hela hizo wanazodai?


Ndugu unatania ama?
Kwa vyovyote hawakukaa tu bila kazi tangia 1977 EAC ilipokufa. Hiki wanachodai ni chao.
 
Naangalia taarifa ya habari ITV,nimeona jinsi gani wastaafu wa jumuiya ya Africa Mashariki wakiteseka kwa haki zao,wamemwagiwa maji ya kuwasha,wamefukuzwa eneo la Mahakama kuu DSM.Haya ni matokeo ya serikali ya CCM.Ila cha ajabu wazee hao hao ndio wanaoshabikia CCM.Kazi kwao wazee wote na kama mnajali wenzenu wanoteseka fanya maamuzi sasa kwa kuichagua CHADEMA.ccm haijali wazeekabisa.Sana sana inawajali pindi iwaitapo kuwatukana wafanyakazi
 
mmoja wa walew wazee amefariki dunia,hivi mkulo na ccm mtajificha wapi na dhambi hii ya mauaji?tuna taarifa kuwa pesa zao zipo na kwa sasa mtakuwa mmezitumbukiza kwenye kampeni,msubirie laana
 
hivi lakini kwa nini hawawapi hawa wazee kilicho chao wakamalizie maisha yao na waende bila kinyongo? kwa nini nchi hii ina dhuluma kiasi hiki?

I loved ur avatar Carmel, huyu kifaranga wa bata anausalama hapo kweli...!!!!
ur right, wawalipe wazee wa watu, Kenya na uganda walishalipwa miaka mingi, fedha za upande wa TZ zililiwa na serikali inajua hilo, uchaguzi huu JK atashangaa, maana na uhakika, wazee hawa wote kura kwa Dr. Slaa, watu wa DECI wote kura kwa Dr Slaa, wafanyakazi, mwaka huu Change is coming.
 
hivi hawa wazee baadhi yao sio ndio wale wanaoitwa wazee wa dar es salaam waliokuwa wakimshangilia jk kwa mbwembwe?

ndio ndio wale wanaomsikiliza kikwete na kura watampigia kwani tatizo si lake hawa walikua wafanyakazi wa jumuiya ya africa mashaririki iliyo vunjwa kwa ubishi wa nyerere ,,,na michango yao ya pension ilikuja lakini nyerere hakuwapa fedha zao aliona choyo waswahili kupata fedha nyingi...akaziyeyusha na vita ya uganda....wazee wakaambiwa wafunge mikanda....
Tatizo liko hapo...tangu 1978 mpaka ameacha uwenyekiti wa ccm wazee hawakusubutu kudai haki zao .namsikia slaa atawashughulikia walotafuna pesa za wazee hawa ,,sasa sijui atamfata mzee kaburini >>>
 
Back
Top Bottom