Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
wazee wa afrika mashariki wako mahakamani High Court wametinga kukumbushia tena kilio chao cha mafao. FFU nao wamewahi kuwalinda wakubwa wao.
walio karibu watufahamishe nini kinaendelea
UPDATE:
Wazee hao wastaafu wa Jumuia ya Africa Mashashiri waliamua kulala Barabarani mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya hukumu ya kesi yao kushindwa kutolewa uamuzi leo kutokana na Jaji aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kudaiwa kujitoa.
Picha: Askari wa vikosi vya usalama wakiwa katika eneo la tukio kuangalia hali ya usalama baada ya waazee wa Wastaafu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki kuamua kulala barabarani

Last edited by a moderator: