Wazee wa accounting njooni mtoe msaada wa haraka

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,082
2,000
Shem wenu kanitumia hili swali na mie ni mweupe kwenye viwanja hivi. Sasa JF haijawai kushindwa kitu. Mzigo ndio huu hapa sasa, kazi kwenu mimi nasubiri majibu tu.

You have just returned from the workshop which was organized by Management of TRA and that of the National Board of Accountants and Auditors (NBAA). The theme for that workshop was to create awareness amongst directors of different companies in Dar es Salaam about declaration and determination of taxable income base on self-assessment system.

Among the key issue which was discussed was the emphasis from the CEO of NBAA on presentation of financial statement base on generally accepted accounting principles which emphasizes on general purpose on preparation and presentation of reports that means focusing on general users of Financial Information rather than specific users.

Required:
Despite the information provided above, Commissioner General of TRA will not accept declarations of taxable income in the return of income to be determined through information declared in the Financial Statement which have been prepared and presented for general users with no any adjustment! Discuss this statement.
 

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
8,988
2,000
mkuu..usije ukaachwa bure tukakosa shemeji wa kutupikia ugali.
majibu ya hilo swali lako yanapatikana kwenye ITA 2004, section 91.
hope ntakuwa nimeokoa jahazi
 

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,215
2,000
Kuna adjustments zinafanyika kwenye kupata hio taxable income, aende kuchimba hizo adjustments zinazoruhusiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom