Wazee kwa vijana tubadilike

Mbuna

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
269
71
Inauma sana kura yako unapoipoteza kwa ajili ya Kanga, fulana au kofia....Ewe rafiki yangu uliye na wazazi nyumbani wakati ni huu wa kuwabadilisha kifikra kwani hivyo vitu haviwezi kukusaidia miaka mitano ila kura yako inaweza leta mabadiliko ya kizazi hadi kizazi
 
Utaona wanachukua kanga halafu utawasikia serikali yetu haifai maneno kibao, nikisikia mtu kama huyo natamani kumtafuna
 
Back
Top Bottom