mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
Kweli kabisa wazee Wa nchi hii hawachelewi kusahau wakikuwa wanadai fedha zao za Jumuia ya Afrika Mashariki CCM Na serikali yake Kiliwanyoosha kwa kuwamwagia maji ya kuwasha Na Hela hawatalipwa kamwe










