Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

Status
Not open for further replies.

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00038.jpg
 
Nadhani hao wazee tuwasamehe! Hivi Morogoro inalimwa bangi? Tuwasamehe!
 
Safari Hii Hayo Machaguo ya Mungu Tunawaachia CCM, Tutajaribu Chaguo la Sheltani this time around.
 
walisema pia kwa huyu aliopo wakaishia kulala bararani kudai mafao na kibano na maji ya kuwasha hawa wazee wanapoteza kumbukumbu sana
 
Hii sasa ni zaidi ya kufuru...acheni kumsingizia Mungu. Mara hii mmesahau kufuru ya mwaka 2005 na adhabu ya dhoruba kali iliyowanyeshea kwa miaka kumi?
 
Huyu Mungu anasingiziwa sana,hata aliyepo tuliambiwa ni chaguo lake!Majanga kwenda mbele
asingekuw chaguo la mungu asingekuwa madarakani, kwni vitbu vya dini vinatwambia kiongozi ni chaguo la mungu, (ila wanaolazimisha ni machaguo ya shetani)
 
asingekuw chaguo la mungu asingekuwa madarakani, kwni vitbu vya dini vinatwambia kiongozi ni chaguo la mungu, (ila wanaolazimisha ni machaguo ya shetani)

Vitabu vipi vinavyoongea hayo? Kwenye Biblia Takatifu hakuna kitu kama hicho.
 
halafu muambieni MAKONGORO mahanga aache kupita usiku majumbani kuhonga vijana wamchague
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom