Neno mgombea wa ccm ni chaguo la Mungu tuliambiwa mwaka 1995 wakati Kikwete anagombea. Matokeo yake kaiacha nchi katika hali isiyokubalika. Mungu anapenda watanzania wawe maskini? Haikubaliki hii dhana, tunapaswa kuhoji. Mgombea nani ni chaguo la shetani? Kikwete muogope Mungu.
Sahihi kabisa mungu yupo pamoja na magufuli.
Kitendo cha Chadema kupigwa upofu kumuondoa Dr Slaa na kumuweka fisadi mkuu ni wazi kabisa kuwa Magufuli ni chaguo la mbingu
MUNGU amewakataa nyie!..Sahihi kabisa mungu yupo pamoja na magufuli.