Nyomi !!!! Nyomi yenye sare yote, inaonekana kama imepangwa vle. Inakuwaje wote wawe na sare ? Ina maana wote ni wa sera moja, vipi kuhusu wale wasiokuwa na vyama wako wapi hapo.Hakuna haja ya kusoma..hiyo nyomi tu kwenye picha ni zaidi ya mameno 1000
kitendo cha chadema kupigwa upofu kumuondoa dr slaa na kumuweka fisadi mkuu ni wazi kabisa kuwa magufuli ni chaguo la mbingu
Huna jipya.Kumbe gazeti lenyewe uhuru embu tupa kule halifai hata kufungia mandazi
Huna jipya.