Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

Status
Not open for further replies.
Ccm mmeshindwa kuwatunza hao wazee, Leo wananjaa, nguvu za kuongea Na huyo Mungu wametoa wapi? Kwanza alokwambia Mungu anabaraza la wazee washauri nani? Kama lipo Na mnalitambua mbona hamuwatunzi? Wanafiki wakubwa!

Hata mie mzee ila nasema White hair for white house #na hii ndio Tanzania niitakayo. Hao wazee watasubiri sana mwaka huu...ccm nooooooooo!

Ahaaaa au wamepewa pensheni zaaaooo ah kumbeee! Basi sasa. Mkiwaweka ccm then mkiandamana tena safari hii sisi vijana tutawachapa fimbo...
 
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.
​

​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
​
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
​
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
​
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli

Ivi hawa nao wanamjua Mungu kumbe? Sasa mbona huwa wanaongea na kuishi utadhani ..... ! Mh...ujanja hadi kwa Mungu? Nyie kweli ni mbele kwa mbele! Ukiwakuta wanatutukania Raisi wetu utasema kwa Mungu ni usiku anakua amelala so hasikii wanayosema!...Mara oh msichanganye dini na sasa...ivi wanasiasa hawana dini? Au kuna Mungu anaeshuhulika na sala za kwenye majukwaa tu ya siasa hachanganyi na sala za sehemu nyingine? Na kuna Mungu wa wasio wanasiasa?

Ah mnatuchoshaaaa ccm!
Karibia mnapumzika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom