Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,547
Mara nyingi inapotokea mzazi anaona kwa namna moja au nyingine mwenendo wa kijana wake haupo sawa huwa wana kauli zao.
Mimi binafsi nilikuwa sijatulia kabisa kwa kupenda totoz, mama hakuniacha salama kwa kauli zake "wewe hangaika hangaika tuu, siku ukianza kujiharishia mimi sitakuwepo.
Kuhusu shule na utoro " nakuvutia pumzi siku nikikukamata utajamba cheche"
Nikichelewa kurudi home, "unanitia presha na kunitoa jasho la makalio ya mbwa koko wewe ulikuwa wapi?"
It was so fun.
Share na wewe ni kipi unakumbuka kutoka kwa mzazi baada ya kumuuzi kupita kawaida.