Wazazi wetu na kale kamchezo

Wazazi wetu na kale kamchezo

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,148
Tangu nilipokuwa mdogo hadi leo naitwa mtu mzima inaniwia vigumu kufikilia kuwa wazazi wangu huwa nao wanachezaga kale kamchezo yaani huwa natafsiri kuwa wameungana kutusaidia sisi wala sio kwa ajili ya kale kamchezo.
Naombeni kujua na nyie enzi zile mnalelewa kwa wazazi hii kitu mlikuwa mnaifikiliaje?
Au mi kichwa kibovu..?
 
kiukweli sijakuelewa.
 
kiukweli sijakuelewa.

I mean huwa nashindwa kufikilia kama wazazi nao wanafanya mapenzi naona kama ndoa yao ni kama kuungana ili watusaidie tu yaani kutusomesha,kutulisha n.k
 
wewe kama una uwezo wa kufanya kwanini wao wasifanye.........ng'ombe anazeeka minofu tu, except kwato na maini
 
hebu vuta picha ya mama yako alafu fikilia kama na yeye nae anafanya hapo ndipo kuna ugumu wa kufikilia hivyo kwangu
 
sioni ugumu wowote kwangu wala hakuna kinachonishangaza kwa sababu ndo tumeumbiwa hiyo starehe akhuu ngoja aponde raha kifo chaja.
 
Ni sawa unasema haukuwahi kuona wawili hao wakifanya mathuthi?
Ina maana unafanyia ukumbini hadi watoto wako wanakupiga chabo au na watoto wenyewe wana maswali kama yako
 
Tangu nilipokuwa mdogo hadi leo naitwa mtu mzima inaniwia vigumu kufikilia kuwa wazazi wangu huwa nao wanachezaga kale kamchezo yaani huwa natafsiri kuwa wameungana kutusaidia sisi wala sio kwa ajili ya kale kamchezo.
Naombeni kujua na nyie enzi zile mnalelewa kwa wazazi hii kitu mlikuwa mnaifikiliaje?
Au mi kichwa kibovu..?

Billie Wao walishiriki sana, ila kwa heshima na ustaarabu mkubwa. Watoto walifichwa na kudanganywa wasijue kabisa kama kuna kale kamchezo, na ndiyo maana chumbani kwa wazazi kulikuwa na vitanda viwili. Watoto wadogo walidanganywa kuwa watoto huokotwa kwenye visima au porini, ili kuficha ukweli wa mambo. Na ndiyo maana mpaka leo, wewe unaona kama hawakufaidi, si kweli walifaidi na baadhi yao walikuwa wazinzi tu kama wazinzi wengine wa nyakati hizi. Kumbuka pia kuwa enzi zao kulikuwa na mongonjwa kama syphilis na gono, jiulize yalitoka wapi?

Kwa hali ya sasa wanafanya haya mambo kwa uwazi mkubwa, na tena mbele ya watoto. Wanakumbatiana, mabusu mbele za watoto, mtandaoni mambo yako wazi, kwenye magazeti ya udaku yanaandika na kuweka picha na makala za kuanika mambo ya chumbani hadharani, kitchen party siku hizi watoto wanaingia, na hata wasipoingia basi wataona kwenye dvd ...
Kwa kifupi hali ya zamani na sasa imebadilika sana na ni ngumu kuifananisha na ile ya miaka ile. Technolojia imekuwa na utamaduni wa kigeni umetutawala na pengine ndiyo maana unashindwa kuelewa kama na wao pia walikuwa wanashiriki na kufurahia mahusiano yao kama watu wa nyakati hizi.

HP
 
Nimekupata sasa mi hata leo nikiwaangalia naona kama huwa hawafanyi kabisa yaani sijawahi kufikilia kabisa kama ilivyo kwenye kuhesabu matonge unayokula.
 
I mean huwa nashindwa kufikilia kama wazazi nao wanafanya mapenzi naona kama ndoa yao ni kama kuungana ili watusaidie tu yaani kutusomesha,kutulisha n.k

Je,uliwahi kufikiria kabla ya ninyi kuwepo,muungano wao ulikuwa kwa ajili gani?
 
Yaani kwa sisi watoto wa zamani ukifikiria hayo unaona ni kama laana ina kugongea mlangoni kwako. We viewed them as watakatifu na huwezi kumfikiria mamaako akigegedwa na mdingi
 
Ni sawa unasema haukuwahi kuona wawili hao wakifanya mathuthi?
Ina maana unafanyia ukumbini hadi watoto wako wanakupiga chabo au na watoto wenyewe wana maswali kama yako
Hiyo avitar yako na unachocoment" mpaka nomecheka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I mean huwa nashindwa
kufikilia kama wazazi nao wanafanya mapenzi naona kama ndoa yao ni kama
kuungana ili watusaidie tu yaani kutusomesha,kutulisha n.k

kwa hiyo walipokwambia umenunuliwa uliwaamini!?lol!
 
Yaani kwa sisi watoto wa zamani ukifikiria hayo unaona ni kama laana ina kugongea mlangoni kwako. We viewed them as watakatifu na huwezi kumfikiria mamaako akigegedwa na mdingi

Ni kweli kabisa hapo awali nilikuwa nashindwa kulileta kichwani mwangu kama hili jambo linafanywa na hawa wazazi nikaanza kujiona au akili yangu ipo chini ya kiwango au? Ndio maana nikaja kuuliza humu kwa magreat thinkers.
 
Back
Top Bottom