Tangu nilipokuwa mdogo hadi leo naitwa mtu mzima inaniwia vigumu kufikilia kuwa wazazi wangu huwa nao wanachezaga kale kamchezo yaani huwa natafsiri kuwa wameungana kutusaidia sisi wala sio kwa ajili ya kale kamchezo.
Naombeni kujua na nyie enzi zile mnalelewa kwa wazazi hii kitu mlikuwa mnaifikiliaje?
Au mi kichwa kibovu..?
Huna cha kufanya tumia akili vizuri