Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Binafsi yule bi mkubwa wangu alinipa somo kubwa tu.
1. Hataki mkwe kutoka Upareni pamoja uchagani; ndio ni kweli wanatafuta hela ila kukukeleftisha in peace ni dakika moja.
2. Hataki muhaya maana kuanzia kwenye shingo mpaka kwenye maeneo ya magoti sehemu hizo huwa zinawasha sana. Atatafuta tu mtu amkune.
Povu ruksa ila ndo ukweli
 
Na trend za ndoa siku hizi haya makabila ukiongeza na Wasukuma ndio wanaoana wao kwa wao...

Na familia zao huwa na mafanikio sana

Chukua soda mkuu. Mimi narudi kwetu sengerema kuchukua jiko fresh
 
Cha kushangaza ndio makabila yanayoongoza kwa kuolewa Tz hilo likubaliwe au likataliwe...most of them ndoa zao zinakuaga na maendeleo kupita kiasi hata katika nyanja kubwa na sekta za muhimu kitaifa lazima ukutane na hizo chata zimejaa ukianzia ma lecturers vyuoni utasikia kina Mwaseba,Urassa na kina Rugemalila kibao! Nenda mahospitalini sasa kina Doctor Rwegasira,Tarimo na Lusekelo wamejaza robo tatu ya mahospitali

Angalia kwa mawakili mahiri na mahakimu na wanasheria matata lazima utawakuta kina Shirima,Mwaipopo na Mwombeki wametanda

Rudi maofisini usipokutana na kina Urio,Lusekelo na Rutashobya basi hiyo ofisi yenu ichunguze kwa makini.

Piga jicho upande wa ma Engineer usipokutana na Eng.Muganyizi,Tesha na Lusajo basi ujue kitengo hakijawa fresh

Njoo kwenye nyanja za wanauchumi usipomkuta Rugakingira,Woiso na Mwaisengela basi hapo team itakua haijabalance.

Inshort hawa watu tukiacha na bla! bla! Wako vizuri upstairs na mabinti zao hua ni warembo pia kwa namna za tofauti kila mmoja kwa muonekano wake...inshort km umetokea kabila weak na wewe ukawa weak minded kweli usijisumbue kuwaoa mabinti kutoka haya makabila utadhalilika brother!

Ila km uko poa kiakili za maisha basi oa hutajuta aisee! Maana kuna vijikabila vidogo dogo vina mapicha picha hawa wakasome halafu havina mbele wala nyuma.
Hii comment iwekewe lamination
 
Makabila yana asili zao na zipo na zinaishi ndo sababu tunashauriwa kuchunguza sanaa aswa asili ya familia ,kiafya kimaendeleo na n.k
 
Wanawake wa kihaya wanaaongoza kusaliti ndoa zao,

Mhaya anahitaji shoo shoo, tena ile ya vita ni vita muraaa,

Mtandike mabao 6, tano muache akiwa hoi

Wachaga usioe machame ,kama una ela atakumaliza mapema,anapenda ela kuliko kitu chochote hapa duniani,

Wanyakyusa sijui
 
Huo ubabe akamfanyie baba ake sio mimi.
Nitamtengua kiuono.
Na yeye Dem!! anakutengua akili kwa limbwata mpozo unazimia roho unaona hivi. nani zaidi?????

Usicheze na ke"" wewe!!
Mungu alisema ishini nao kwa akili wewe unataka tumia miguvu weeee!!!
Shetani mwenyewe hana hamu mpaka leo...

Usicheze na kile kitu kinachotoka jikoni kwa mkeo unameza tu!.tena jiko ulilojenga mwenyewe kwa mikono na hela zako!!!

Utazunguka na Dunia hii Weee!! hutaamini macho yako siku ukigutuka tu!!

unakufa kabisaaa!!...na hakuna wa kumuuliza mkeo. Sasa endeleza ujuha huuu!!! Km huna wazazi basi tumekwambia sisi!!!

Umtengue kiuno mpishi wako kabisaaa!!! Unajua unacho kula weye??

au bado mtoto weye hujui mambo??
 
Mtoa mada umelenga penyewe kabisa hao wanawake wa kinyaki wanapenda waishi wanvyotaka wao yaani wanapenda mashine kupitiliza, watu wa starehe na kupenda kila siku waishi vizuri, hapendi kupangiwa, ndugu yangu alioa yule kiumbe alianza kulewa na wafanya kazi wanzake jamaa na mwisho wa siku mwanamke alibeba watoto akawapeleka mbeya akaenda kuishi na mwanaume mwingine somewhere, nilikuwa na bonge mmoja nilivyotoka kusaka life akaniambia live ndio naondoka ila yeye pipe ndio starehe yake pekee hivyo lazima atafute kidume kingine nikajisemea mweeeeee mweeee.
 
Back
Top Bottom