Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
Pole sana.
Hayo ya wazazi yasiku-affect kabisa. walipoanza mapenzi yao we hukuwepo na sasa wakiamua kuachana waache wajiamulie wenyewe. Kuna mambo mengi yanaendelea kati yao we huwezi yaelewa.
Naona kuachana kwa wazazi wako kumekufanya u-panick na uone kama mapenzi ni kitu so complicated, hadi unajiuliza kama wewe utakuja olewa. usifananishe mfano wa mama yako na wa kwako. Kama Mungu alikuandikia utaolewa tu.