Mambos!
Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!
We ndio mjinga na mpuuzi usojitambua utaendelea kua kijakazi maisha yako yote
usilaumu sana ndo majina ya wazaramo mkuu..
Pole San kwa kuhisi unawazazi wakinga, ningependa kukurekebisha usemi wako wa kwamba wazazi wako ni wajinga hakuna Mzazi mjinga duniani labda mapungufu madogo madogo ya kibinadamu inawezekana wewe ndio ukawa mjinga maana upo peke yako unayeona hivyo SWAPO wawili tena waombe msamaha kwa kuwaita wakinga. Tena huna hakili
Sijui kama unajua madhara ya kuwasema vibaya wazazi wako hata kama ni wabaya kweli!!! sijui, yaani kwa kifupi kwa hili ulilolifanya kwa wazazi wako, fahamu kuwa imekula upande wakoMambos!
Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!
Sijui kama unajua madhara ya kuwasema vibaya wazazi wako hata kama ni wabaya kweli!!! sijui, yaani kwa kifupi kwa hili ulilolifanya kwa wazazi wako, fahamu kuwa imekula upande wako
fafanua,inakuwaje hiyo?Mambos! Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!