Wazazi wangu wajinga!

Wazazi wangu wajinga!

Status
Not open for further replies.
Bangi huzaa bangi na mchicha huzaa mchicha. Kama wazazi wako ni wajinga na wewe ni mjinga!!!!
 
Bangi huzaa bangi na mchicha huzaa mchicha. Kama wazazi wako ni wajinga na wewe ni mjinga!!!!

Mimi sio mjinga form 4 nilipata division 1 ya katikati na fomu 6 nilipata two ya mwanzoni kabisa hivyo ni moja kati ya watu wenye akili sana Tanzania!
 
Kweli kijana huyu ndiye mjinga, huwezi kuwaita wazazi wako wajinga. Ukiwaona hivyo chukua hatua ya kuwasaidia na mezea.
 
Mimi sio mjinga form 4 nilipata division 1 ya katikati na fomu 6 nilipata two ya mwanzoni kabisa hivyo ni moja kati ya watu wenye akili sana Tanzania!

Na hao wazazi unaosema wajinga ndio walikufikisha hapo na kupata hiyo elimu. Huoni hata aibu kusema wazazi wako wajinga?
 
Ndio tatizo la matoto yanayotanguliza ------ wakati wa kuzaliwa!! Hili nalo lilimchungulia mama yake!! Laana tupu!!!
 
"Waheshimu baba na mama upate maisha marefu duniani", "Hii ndiyo amri pekee yenye ahadi". Mheshimu baba yako anapokaribia uze, wala usimkwaze mama yako anapotindikiwa kumbukumbu, ....
Nimeona nianzie hapo, kimaandiko. Napenda kusema ya kwamba, kijana unajitakia laana.
Kila mtu aanao/au ni mjinga, ila sio upumbavu. Jitahidi kutumia werevu wako katika kuwaelimisha wazazi wako kwa ------ kuu. Inaweza unasema hivyo kwa kuwa wao ni 'conservative".
Ukiendelea kuwahadaa hivyo, nawe utakuwa --------. Ukiwa na elimu, na ukashindwa kuwasaidia watu wa jamaa yako (wazazi wako wakiwamo), elimu na ujuzi wako hauna maana.
 
Mambos!
Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!
Kabla ya kukushauri hebu tuambie kwanza umeacha lini kutumia zile dawa zako za mirembe!
 
Mambos!
Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!

Kama wazazi wako ni wajinga wewe ni TAHILA.
 
Mambos!
Mimi nina bahati mbaya ya kuwa na wazazi wajinga, Je kuna yoyote kati yenu pia mwenye hilo tatizo? Ningependa kujua anaishi vipi na wazazi wajinga, kwa maana napata shida sana!
Sikuiti mkuu ili nisije ingia kuunga mkono mtu asiyeheshimu wazazi wake.
Amri ya Nne: Waheshimu Baba yako na Mama yako, siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako.

Sidhanii kama utajisikia vizuri ukiambiwa siku zako zimekatwa by half kwa thread yako!!
 
Ao unao waita wajinga kumbuka ndo waliokufanya uione Dunia na ujue ilo neno ujinga. Kum2kana mzazi ni sawa na kum2kana Mungu wako, piga goti naamini hujui ulitendalo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jamani we unaanza kurukwa akili nini! huo ujinga umeuona ulivyoanza kuingia jf! rekebisha kauli la sivyo cha moto kinakuja!
 
Hivi kama mzazi anakukomalie ukasome madrasa na usisome elimu ya kawaida huyo sip mjinga?
 
Mods please toeni hii thread sio siri we kijakazi umeniharibia jioni yangu.....na utabaki kua kijakazi maisha yako yote una laana ya wazazi wako wewe afu unajiona mwerevu wakati wewe ndie mjinga wa wajinga
 
Nyie ndo huwa mnawaambia wazazi wenu kuwa wangechelewa kidogo mngewazaa. Fuc.k u
 
Imekula kwangu kivipi? ungejua jinsi wanavyoboa wala usingesema!
hata kama wanakuboa kijakazi, unatakiwa ulitafutie ufumbuzi wewe mwenyewe bila kuwasema kama ulivyofanya, hii tayari imekula kwako. five years to come utaona matokeo yake. Ili upone omba toba vinginevyo imekula kwako. I wish I could talk to you face to face for you to understand maana ya imekula kwako, sio kuwa nakutisha ila ndiyo ukweli wenyewe imekula kwako. kujinusuru na hilo jambo baya linalokunyemelea omba toba, period
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom