Wazazi Wanaolalamika Wamefeli?

Siku moja binti yangu wa pili aliniomba pesa, nikampa kidogo, akalalamika, nikamuonyesha bill nilizonazo! Alichoniambia sijakisahau mpaka leo!!!
" Aliniambia, Baba hayo ni majukumu yako, pambana", Kweli nikaongeza bidii ya kupambana.
Alikueleza ukweli kwamba hizo bills hazihusiani na pesa anayokuomba ni majukumu yako ya lazima usitafute kisingizio na huruma upambane 😁😁😁
 
Una uhakika kwamba nilimletea dharau au ndo Ile misemo yenu kwamba mzazi hakosei?
 
Umekosa hekima.

Wazazi ni watu wa kuwaheshimu, achilia mbali pesa walizotumia, haujui ni mara ngapi hawakulala usingizi kwasababu yako.

Tafuta hela wewe binti, ungekua na ukwasi usingekuwa na muda wa kujibishana na wazazi mambo basic kama hayo
 
Huko tunakoenda kitaibuka kizazi korofi Sana ambacho mtu kabla hajazaa impasa afikirie mara tatutatu
Exactly, kwa Sasa watu wanazaa kama panya alafu Wana misemo Yao ya kujifariji kwamba kila mtoto anakuja na riziki yakee
 
Kuna watu wamezaa kwa peer pressure ukiwauliza kwa nini umezaa mtoto hawawezi kukupa jibu ka kueleweka, usifanye kama watu wetu huko huwa wanafikiria sana kabla ya kuzaa.

Wangefikiria sana pengine hata wewe usingekuwapo hapo.
 
Me nishawai kumchana baba yangu laivu bila chenga nilizinguana naye akaniambia nilikusomesha nikamjibu unataka nikurudishie pesa zako? huo ilikuwa ni wajibu wako.
Hahaha wanazingua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…