Wazazi wananichanganya

Wazazi wananichanganya

Mpendwa ni kwel charity begins at home.Lakn aman yangu ipo kijijn kwanza..na nyumban marekebisho yake siyo makubwa sana..
Ndg. SG !! hizi ni minor cases, Since maono yako ni mapana na long term relationship ya ukoo ..go Ahead jenga kwa babu na mambo mengine Mwenyeezi Mungu atakukamilishia kwa baraka zake... Amini hutopoteza kitu!! kwa kuwa wee kesho utakuwa mzazi na kuwa nawajukuu pia...
Good luck
 
mama ako anamatatizo sana, hebu endelea kufanya unalofanya kimya kimya bila kumfahamisha lolote huku yeye akiamini kuwa umeachana na huo mpango, ila baba mfahamishe na jitahd mfanye siri, mama aje kushtuka tu umeshaanza kujenga nyumb ya wazazi wake
 
Dada m naona huna vipaumbele unachozani ww ni cha maana ni siku ukipata msiba watu waone kwenu pako vizuri jijenge kwanza ww binafsi wazee wale hawana tena jipya kesho na kesho kutwa wanapita ivi kitakachobaki ni ugomvi t
 
Najijenga usije dhani hizi hela znatokabkwenye mshahara.ishu nilikua nabadilisha maisha..siyo kila siku unatuma hela...mda mwingne unafanya jambo linalo dumu..pesa inaliwa inaisha..nakupenda sana kwetu (mjin na kijijin)..na ndugu zangu ndo muhimili wangu.na sina mawazo ya kutaka URITHI.afu naweza Tangulia mm kufa kama huja jua kua kifo hakina kanuni...KIKUBWA ZAIDI BINADAMU TUPO TOFAUTI KILA MTU NA MALENGO YAKE YA MAISHA....asante kwa kushiriki mkuu
 
Kweny
Itabdi niongee na mama..asipo nielewa ataelewa atavyo ona tabia yangu haijabadilikana bado nipo nawe ktk hali zote
Kaatika maisha haitakiwi uingize siasa katika kila jambo. Huyo ni babu yako na wewe huo ndio ukoo wako sio alikotoka mama yako. Kukumbuka ulikotoka sio wote wamejaliwa kukumbuka walikotoka ni baadhi tu ndio maana wengi kashfa haziwaishi mdomoni.

Jenga kwa babu kama ulivyopanga, kisha ukimaliza endelea na huko kwingine kama pia ulivyopanga.
Kama ingekuwa mimi hata kumsikiliza mama nisingemsikiliza mtu anaponishauri jambo la chuki bila sababu sifuati ng'o.
 
Kweli chuki haijengi mkuu.barikiwa sana
 
Kwanza hongera sana aisee kwa mtoto wa kike kuwazA hivyo.
Apo amna namna ,wamama mara nyingi vitu vingine huwa wanaelewa vikikamilika. We fanya moyo wako unavyokutuma , ikifika upande wa kike nako utafanya kisha utarudi umalizie nyumbani
 
usiwaze, malizia nyumba ta babu yako...fata moyo wako unavyotaka ili uwe na amani. mama na baba yako wanaweza kuwa wanaugomvi wao ila wewe uwe katikati penda kwa mama na penda kwa baba. ila usiache kuwa unawashirikisha maana kwa kuwa umeshakuwa ukitumia utaratibu huo ukiamua kuuacha mama yako atahisi umeamua kuacha kwa sababu ya maneno yako
 
lakin akili ya kuambiwa changanya na yakwako unajua mazur na mabaya but kuwasikiliza wazaz ni vizur lakin sio kwa kupotosha
 
Mpendwa ni kwel charity begins at home.Lakn aman yangu ipo kijijn kwanza..na nyumban marekebisho yake siyo makubwa sana..
Don't say yes to Duppy, something is wrong na kauli yake, Fanya kile kitakupa amani ya Moyo wala mama asikushurutishe pia usimfiche ila mwambie kwa upendo tu kuwa hayo mapungufu wewe hayakuhusu and you are doing that with your moral authority
 
Back
Top Bottom