Wazazi walaumiwe matokeo mabovu Form 4

Wazazi walaumiwe matokeo mabovu Form 4

Mimi kuhusu shule aise wale madogo nitakata hata hayo masikio wala serekali wasiniulize maana watoto wakifeli haiwasaidii chochote sisi wazazi ndio tunaoteseka nao
Ni kweli serikal aina hasara je na ww mzazi ulimfuatilia mtoto wako maendeleo yake shulen na ulikuwa una msupport kama Ndio.Bac a resit/au mtafutie short course anayopenda.
 
Ni ndogo sana. Sasa mtoto ataenda uchi shuleni?
Mkuu ni ndogo kwako kwa mwingine ni kubwa sana maana si kama 15-20k iyo hela kwa mwingine ni kubwa Mfano halisia.kama kile kipind shule za kata tunalipa ada 20000 na bado tunarudishwa yan mzaz anashindwa kulipa.
 
Na mtoto mwenyewe kama hajielewi na haelewi anafanya nini nalo ni tatizo,,.maana mzazi huwezi kuwa busy na kufatilia mwenendo wa mtoto siku zote,,mambo ya kufanya ni mengi,,,kuna watoto wako wanajitambua na wanaelewa wamepelekwa shule kufanya nini,,wajibu wao wanaujua,,kufatilia mwenendo wa mtoto ni sawa kabisa lakini mtoto mwenyewe ajielewe yeye ni nani na anatafuta nini??
 
Wazazi wanapaswa laumiwa na kubebeshwa lawama kwa matokeo mabovu yaliyotangazwa leo hii.

Wazazi wameshindwa fatilia maendeleo ya watoto wao shuleni

Wazazi wameshindwa kagua madaftari ya watoto wao shuleni

Wazazi wameshindwa paza sauti ili watoto wao wasisome wengi darasa moja

Wazazi wameikabidhi serikali ya kisiasa, kulea watoto wao

NB: Elimu bure ni ghali.

Mtoto akifeli anayeumia si Serikali maana yenyewe kazi yake ni kutoa huduma tu na haipati hasara

Wazazi tugharamie Elimu za watoto au Tuache kuzaaView attachment 2499455View attachment 2499456View attachment 2499457View attachment 2499458View attachment 2499459
Mkuu
Rudi kwenye drawing board yako tena.

Tusiwalaumu wazazi ambao kimsingi wamebanwa mbavu zote kupitia inflation na kodi zisizo na utu kisha unataka wazazi wagharimie elimu.

Ni JUKUMU la serikali kuhakikisha elimu bora kwa wananchi wake. Lakini tujiulize ni mbunge ama diwani ama waziri gani ambaye wanae wanasoma shule za umma?

Mipango, mikakati ya kukuza mitaala imelenga kutunisha pato la serikali na siyo kupeleka elimu bora kwa watoto wetu.

Angalia shule nyingi binafsi zimeamua kutumia mitaala ya nje kama Cambrige,Montesory na kadhalika kwa sababu ya uduni ama ubabaishaji wa mitaala yetu.

Walimu shule za umma ni kama secondhand class ya wafumishi wa umma kwa sababu incentive zao zinategemea uhamisho, kupanda madaraja na miradi kama sensa, chaguzi na kadhalika.

Serikali ya CCM inajiimarisha madarakani kwa kuhakikisha inapanga safu za ushindi na siyo kuwa na mikakati inayotimiza wajibu wake na ilani kwa kujihakikishia inamaliza matatizo ya wananchi.

Tuamke now, tuwahoji wanapokuja kuomba kura kwetu tujue wameguswa kiasi gani na hizi zero zinazochanua kwenye shule za umma? Je wameshiriki vipi kwenye athari hizo na wana mpango gani na hizi zero.

Serikali kupitia CCM inatuaminisha kuwa shida kuu za nchi hii ni umeme, maji, pembejeo na ardhi. Lakini tatizo letu kuu ni ELIMU. Wananchi wengi (majority) wana background za kutofanya vizuri kwenye elimu na hivyo usitegemee kuona mjadala wa kitaifa kuhusu elimu yetu unapata hamasa kwenye jamii.

Tuzinduke
Tuikatae CVM
 
Dj leta mambo

Dj wa badaye huyu

Ova
 
N
Na mtoto mwenyewe kama hajielewi na haelewi anafanya nini nalo ni tatizo,,.maana mzazi huwezi kuwa busy na kufatilia mwenendo wa mtoto siku zote,,mambo ya kufanya ni mengi,,,kuna watoto wako wanajitambua na wanaelewa wamepelekwa shule kufanya nini,,wajibu wao wanaujua,,kufatilia mwenendo wa mtoto ni sawa kabisa lakini mtoto mwenyewe ajielewe yeye ni nani na anatafuta nini?
Ni kweli kabisa mkuu.KUJITAMBUA
 
Mkuu ni ndogo kwako kwa mwingine ni kubwa sana maana si kama 15-20k iyo hela kwa mwingine ni kubwa Mfano halisia.kama kile kipind shule za kata tunalipa ada 20000 na bado tunarudishwa yan mzaz anashindwa kulipa.
Mkuu hakuna namna yoyote nitashawishika katika hilo. Mtoto haanzi form one ghafla. Tangu anazaliwa inajulikana akifika miaka fulani ataanza form one. Hivyo visingizio vya uniforms ni upuuzi mtupu. Mtoto anamaliza darasa la saba mwezi wa 9 ina maana kwa miezi yote hiyo mtu anashindwa kupata hela ya uniform tu? Hii nchi kwa kweli ina watu wapumbavu mno. Kinachoenda kutokea ni viongozi wetu wa sasa kuwarithisha watoto wao vyeo kwasababu pia ni wasomi.
 
Mkuu ni ndogo kwako kwa mwingine ni kubwa sana maana si kama 15-20k iyo hela kwa mwingine ni kubwa Mfano halisia.kama kile kipind shule za kata tunalipa ada 20000 na bado tunarudishwa yan mzaz anashindwa kulipa.
Ni uzembe wa wazazi, hakuna mzazi anaweza kosa hiyo pesa
 
Jukumu la mzazi ni kumsomesha mtoto wake.

Jukumu lake ni kumfatilia mtoto asome na ahakikishe anaenda shule.
 
Wazazi wengi wamekuwa wapumbavu mno. Kwa mfano mwaka huu kuna wazazi wengi wameshindwa hata kununua sare za shule na kusingizia umaskini. Kama ulikuwa unajua huna uwezo wa kutunza si ungepiga tu nyeto au kuvaa condom? Mleta uzi nakuunga mkono 100% kwamba wazazi wanastahili lawama bila kupepesa macho. Pia wale wanaotia mimba na kukimbia majukumu mna mchango wenu kwenye haya matokeo. Wahitimu wanaolelewa na mama zao tu ni wengi mno.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom