Wazazi walaumiwe matokeo mabovu Form 4

Wazazi walaumiwe matokeo mabovu Form 4

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,312
Reaction score
103,534
Wazazi wanapaswa laumiwa na kubebeshwa lawama kwa matokeo mabovu yaliyotangazwa leo hii.

Wazazi wameshindwa fatilia maendeleo ya watoto wao shuleni

Wazazi wameshindwa kagua madaftari ya watoto wao shuleni

Wazazi wameshindwa paza sauti ili watoto wao wasisome wengi darasa moja

Wazazi wameikabidhi serikali ya kisiasa, kulea watoto wao

NB: Elimu bure ni ghali.

Mtoto akifeli anayeumia si Serikali maana yenyewe kazi yake ni kutoa huduma tu na haipati hasara

Wazazi tugharamie Elimu za watoto au Tuache kuzaa
JamiiForums305226171.jpg
JamiiForums1030234611.jpg
JamiiForums-1684119534.jpg
JamiiForums-227288089.jpg
IMG_20230129_145145.jpg
 
Wakulaumiwa Ni CCM TU hapa
Hizo ni siasa

Wazazi hawajafanya kazi yao kufatilia watoto wao.

Wangefatilia lazima shule ingefanya kitu

Wazazi tumekubali siasa
 
Wazazi wengi wamekuwa wapumbavu mno. Kwa mfano mwaka huu kuna wazazi wengi wameshindwa hata kununua sare za shule na kusingizia umaskini. Kama ulikuwa unajua huna uwezo wa kutunza si ungepiga tu nyeto au kuvaa condom? Mleta uzi nakuunga mkono 100% kwamba wazazi wanastahili lawama bila kupepesa macho. Pia wale wanaotia mimba na kukimbia majukumu mna mchango wenu kwenye haya matokeo. Wahitimu wanaolelewa na mama zao tu ni wengi mno.
 
Hakuna aijuae kesho mkuu.unakuta unazaa kipind mamb ni saf ila maisha yanachange.ila niko pamoja na ww kwenye swala la wanaume kuzaa ovyo na kutelekeza watoto ili nalo ni kisababish cha matokeo mabovu.
 
Jomba sijajua ni ushawishi gani utanipa nikuelewe kumhurumia mtu aliyeshindwa kununua hata sare ya shule.
 
Mimi kuhusu shule aise wale madogo nitakata hata hayo masikio wala serekali wasiniulize maana watoto wakifeli haiwasaidii chochote sisi wazazi ndio tunaoteseka nao
 
Back
Top Bottom