Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

Hicho kipengele kilikuwa na umuhimu gani kwa ushauri uloutaka leo!!!? Ndo maana umekataliwa..hata kimuonekano unaweza onekana hivyo...sura ya kitapeli tapeli..........

Tafuta namna kajishushe kwa wazazi,omba yaishe..nenda na wazazi wako waongee wazee kwa wazee...
Wazee wabishi afu wajuaji yani familia yao bure kabisa wananiita mharibifu??
 
Kabisa[emoji23]
No am so kind na mama ake anafahamu kwa sababu nimefahamiana na mama ake mda kidgo ila mzee wake sasa daaah[emoji1787][emoji1787]likali kama jibwa yani afu linapenda sifa
 
Wazazi wengine bana, sasa hawakutaki kwani we unawataka wao au unamtaka mtoto.....

Halafu nawe unaonekana hujiongezi upo upo tu kiboya.

Mwisho sina ushauri
Kwanin ??? Mim niko na mtoto wao vzr tu ila wazazi especially wakiume hatak kabisaaa kunisikia kwa madai nimuharibifu
 
unaomba ushauri kwetu sisi kwani sisi ni wazazi wa huyo binti? wao wanajua kwanini wamekukataa. wewe unajua sababu iliyokufanay ukataliwe, ili pengine tuanzie hapo.
Sababu wanadai muharibifu
Mimi binafsi sijaona sababu ya kunikataa maana kama kumhudumia naweza
 
wazazi wamemwambia jamaa ni mharibifu. sijui kwanini. una pesa? ulienda kwa gari, pikipiki, au kwa mguu? ulivaavaaje hadi wakukatae, kuna maswali mengi. mzazi yeyote akiona mtoto wake anataka kudondokea kwenye mikono ya mtu ambaye haeleweki, lazima amaindi. wazazi wako watakuwa walikubali fasta kwasababu kwao waliona wewe kumpata huyo binti ni kama bingo, ila wazazi wa binti wakaona binti amepotea.
Nilienda na nguo za kawaida na pia sikuenda kwa gari maaana sina , kingine mbn mim niko peace na nina soma degreee sasa pia ni mtu mcheshi sijajua kwann
 
Wewe umeenda kutambulishwa kama nani?

Kwenye jakii zetu mchumba hutambulishwa iwapo anataka kuoa. Kwenye kuoa kila familia wana taratibu zao ambazo unapaswa kuzitafiti na kuzizingatia.

Je, wewe lengo lako ni kuoa? Utaratibu wa kuoa kwenye familia hiyo unaufahamu? Kama unaufahamu, umeufuata.

Mara nyingi utaratibu huwa mchumba having kutambulishwa moja kwa moja. Anatuma wawakilishi/mshenga.

Ushauri: kwanza jiulize ni nini unataka toka kwa familia ya huyo binti.
Aseeeh hapa ndo kunapoint huenda wazazi wake wanatamaduni mtu akitambulishwa bhas aje mshenga ni kuoa direct sasa mim nilienda nae yeye kujitambulisha kama mchumba
 
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya

Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba

Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kuwa sasa nimekuwa muda wa mimi kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 muda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo

Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , halafu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maana nilikuwa na hamu sana , sasa wazazi wamenikataaa live wameniita mimi muharibifu bila ya wao kujua nimekaa na mtoto wao miaka 6 sasa

Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazazi wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chochote kisa mimi , nilivyoenda mimi akakubali then wazazi wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende.

Niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vipi?

Maana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha [emoji26][emoji26][emoji26]
Dini yako?
 
Achana nao mzee katafute kwingine

Ukute hata wanakuhurumia wamekuona ulivo mzembe wakikukabidhi hilo buludoza huwez toboa
 
No am so kind na mama ake anafahamu kwa sababu nimefahamiana na mama ake mda kidgo ila mzee wake sasa daaah[emoji1787][emoji1787]likali kama jibwa yani afu linapenda sifa
😂😂😂😂😆
 
Nilienda na nguo za kawaida na pia sikuenda kwa gari maaana sina , kingine mbn mim niko peace na nina soma degreee sasa pia ni mtu mcheshi sijajua kwann
unasoma degree, hata kazi huna na hauna uhakika kama utapata kazi. halafu unataka kurukia mabinti wa watu. upo serious kweli? soma shule dogo acha izo.
 
Ya kaisari mpe kaisari,na ya Mungu mpe Mungu!!...huenda unaepushwa na jambo baya mkuu,never say never!
 
Back
Top Bottom