Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

phil78

Member
Jan 12, 2023
47
71
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya

Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba

Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kuwa sasa nimekuwa muda wa mimi kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 muda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo

Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , halafu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maana nilikuwa na hamu sana , sasa wazazi wamenikataaa live wameniita mimi muharibifu bila ya wao kujua nimekaa na mtoto wao miaka 6 sasa

Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazazi wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chochote kisa mimi , nilivyoenda mimi akakubali then wazazi wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende.

Niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vipi?

Maana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha
 
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni .pia ni mzima wa afya
Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba
Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kua sasa nimekua muda wa mim kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 mda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo
Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , afu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti flani hivi pale tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maaana nilikua na hamu sana , sasa wazaz wamenikataaa live wameniita mim muharibifu bila ya wao kujua nimekaaa na mtoto wao miaka 6 sasa
Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazaz wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chchte kisa mimi , nilivyoenda mim akakubali then wazaz wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende. niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vip ??
Maaana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha

Hapo wazazi washasoma mazingira wakaona maisha magumu na bado binti yao anaenda kukopwa kwa mahari ya installments

Tafuta pesa hutaitwa mchawi na wakwe😅😅😅
 
siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti flani hivi pale tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maaana nilikua na hamu sana
Hicho kipengele kilikuwa na umuhimu gani kwa ushauri uloutaka leo!!!? Ndo maana umekataliwa..hata kimuonekano unaweza onekana hivyo...sura ya kitapeli tapeli..........

Tafuta namna kajishushe kwa wazazi,omba yaishe..nenda na wazazi wako waongee wazee kwa wazee...
 
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya

Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba

Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kuwa sasa nimekuwa muda wa mimi kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 muda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo

Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , halafu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maana nilikuwa na hamu sana , sasa wazazi wamenikataaa live wameniita mimi muharibifu bila ya wao kujua nimekaa na mtoto wao miaka 6 sasa

Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazazi wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chochote kisa mimi , nilivyoenda mimi akakubali then wazazi wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende.

Niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vipi?

Maana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha
unaomba ushauri kwetu sisi kwani sisi ni wazazi wa huyo binti? wao wanajua kwanini wamekukataa. wewe unajua sababu iliyokufanay ukataliwe, ili pengine tuanzie hapo.
 
wazazi wamemwambia jamaa ni mharibifu. sijui kwanini. una pesa? ulienda kwa gari, pikipiki, au kwa mguu? ulivaavaaje hadi wakukatae, kuna maswali mengi. mzazi yeyote akiona mtoto wake anataka kudondokea kwenye mikono ya mtu ambaye haeleweki, lazima amaindi. wazazi wako watakuwa walikubali fasta kwasababu kwao waliona wewe kumpata huyo binti ni kama bingo, ila wazazi wa binti wakaona binti amepotea.
 
Kupata ushauri murua kwa mambo uliyoandika utasubiri wenye busara zaidi humu jf.

Mambo ya kumzagamua ni faragha sala hukutakiwa kuyaleta hapa, angalia wale wanaoleta matatizo ndoani au mahusiano serious huleta shida zao na sio kuongelea kua juzi/jana nilimpiga mti!!

Huo utoto uliosema hapo unaonesha wazi wewe sio muoaji ni mgongaji usieridhika.

Ushauri wangu..
Maliza chuo kwanza.
 
Wewe umeenda kutambulishwa kama nani?

Kwenye jakii zetu mchumba hutambulishwa iwapo anataka kuoa. Kwenye kuoa kila familia wana taratibu zao ambazo unapaswa kuzitafiti na kuzizingatia.

Je, wewe lengo lako ni kuoa? Utaratibu wa kuoa kwenye familia hiyo unaufahamu? Kama unaufahamu, umeufuata.

Mara nyingi utaratibu huwa mchumba having kutambulishwa moja kwa moja. Anatuma wawakilishi/mshenga.

Ushauri: kwanza jiulize ni nini unataka toka kwa familia ya huyo binti.
 
Back
Top Bottom