Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

TAFUTA HELA ACHA KUTAFUTA HURUMA KWA WAKWE
 
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya

Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba

Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kuwa sasa nimekuwa muda wa mimi kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 muda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo

Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , halafu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maana nilikuwa na hamu sana , sasa wazazi wamenikataaa live wameniita mimi muharibifu bila ya wao kujua nimekaa na mtoto wao miaka 6 sasa

Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazazi wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chochote kisa mimi , nilivyoenda mimi akakubali then wazazi wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende.

Niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vipi?

Maana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha [emoji26][emoji26][emoji26]

Mchawi pesa kijana tafuta hela kwanza ndipo urudi kuposa!
 
I know inauma sana, lkn naitaji kujua kutoka kwako kwanza unaumri gan na unafanya kazi gan? inawezekana wazazi wamepima upepo wa kipato chako na maisha mtakayo kwenda kuishi na swala zima la kuwasaidia wao wenyewe. ushauri wangu muombe mungu akuongoze na endelea kutafuta pesa kwanguvu
 
Duh mzee yani bado unasoma alafu unafikiria mambo ya kuoa, bado unasafari ndefu sana mzee tafuta maisha huwezi kuoa huyo dem, mwanaume una jukumu la kutafuta hela tu na maisha, hayo mambo ya ndoa waachie madem ndo wanaweza kuolewa muda wowote bila kujali ana maisha au hana
 
Hapo wazazi washasoma mazingira wakaona maisha magumu na bado binti yao anaenda kukopwa kwa mahari ya installments


Tafuta pesa hutaitwa mchawi na wakwe😅😅😅
Pesa ndio kitenzi kikuu.
 
Hapo wazazi washasoma mazingira wakaona maisha magumu na bado binti yao anaenda kukopwa kwa mahari ya installments


Tafuta pesa hutaitwa mchawi na wakwe😅😅😅
Dogo anashindwa kutafuta maisha kutatua shida za uchumi amekalia mbususu za bure🤣
 
Hata Kama huna maisha hawana Sababu ya kukudharau,Cha kwanza Ni utu,pesa inatafutwa,unaweza Leo ukawa huna maisha lakini mbeleni ukawa na maisha mazuri,Simama kiume achana na huyo mtoto wao hayupo peke yake duniani,tafuta mdada atayekuheshimu na utakae kubalika na familia yake muoe uanze tengeneza familia yako...Ukijifanya unakomaa na huyo mwenye Wazazi visebengo hakika ndoa yako utakuwa chungu
 
Tafuta pesa,kaa karibu na mama ake,atabadili upepo wote huo.peleka vizawadi vyakutosha kwa mama.
 
Aseeeh hapa ndo kunapoint huenda wazazi wake wanatamaduni mtu akitambulishwa bhas aje mshenga ni kuoa direct sasa mim nilienda nae yeye kujitambulisha kama mchumba
Sema unaonekana una kausela flan hivi,ndio kamekuponza,nilikuwa na study hata uandishi wako...
 
Back
Top Bottom