Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

Wewe ni mjinga, mpuuuzi. Tapeli wa mapenzi na mpumbavu ndo maana wazazi wamekukataa. Binti unayetaka kumuoa unakujaje sehemu public na kumuongelea kama hivi

siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu

Pumbaaavu nambari wani
 
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya

Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba

Kuna wakati ukafika tukaona tujitambulishe kwa wazazi , mim kama mwanaume nilipokelewa ombi langu na wazaz wangu vizuri bila shida na kufurah kuwa sasa nimekuwa muda wa mimi kuoa wakati huu bado niko chuo , huyo msichana yeye bado hajaingia chuo ila alimaliza form 6 muda tu ni ugumu wa maisha umemfanya ashindwe kwenda chuo

Sasa kwao tulivyoenda nimekataliwa na yule binti alipigwa sana na mzazi wake , halafu kibaya hiyo siku anapigwa nilienda kumzagamua gesti fulani hivi pale Tegeta nikapiga sana mbususu japo sikuridhika maana nilikuwa na hamu sana , sasa wazazi wamenikataaa live wameniita mimi muharibifu bila ya wao kujua nimekaa na mtoto wao miaka 6 sasa

Binti nampenda na yeye ananipenda
Wazazi ndo hawataki , binti alitaka kujiua wazazi wakamuwaisha hospitali alikataaa kufanya chochote kisa mimi , nilivyoenda mimi akakubali then wazazi wake wakaniita chonjo eti wananiambia wasinione tena na mtoto wao kwa madai ya kwamba mimi ni mchawi nimemloga mtoto wao anipende.

Niliumia sana
Sasa naombeni ushauri nifanyaje na kama kuna mtu kashawahi kukutana na situation kama hii aliivuka vipi?

Maana nikisema nimpige demu chini demu atasema nimemchezea na kumuacha [emoji26][emoji26][emoji26]
Huna pesa, huna mwelekeo wa maisha, wazazi wa binti wameona utaongeza mikosi tu kwenye familia, chakufanya tafuta pesa huepuke maneno.
 
Dalili za mvua ni mawingu

Ushauli wangu broo kaa mbali na hiyo familia na huyo binti wao waachie wenyewe wakae
Nae
 
Nilienda na nguo za kawaida na pia sikuenda kwa gari maaana sina , kingine mbn mim niko peace na nina soma degreee sasa pia ni mtu mcheshi sijajua kwann
Kwa hiyo ukajibeba kwemda mwenyewe Kujitambulisha kwa kina binti???? Hivi wee mzima kweli??? Au ulienda kuwatambia hao wazazi unakazaa mtoto wao...?? Kama.ungekuwa serious ungeenda na wazazi wako au ndugu zako wa heshima sio huo Uhuni ulioufanyaa.
 
Uliwahi kuusikia ule msemo 'tulipendana lakini haikupendeza'.
.
Miaka sita ni mingi, na mtakua mmeshibana kwa kila namna lakini kwenye maisha kuna kuanguka, kupoteza muda na kutopata unachotaka. Hata kama wakikikukubali jambo lolote likitokea mbele we ndo utakua dampo la lawama na visingizio vyote. Amini vitendo vya mtu, na wameshakuonesha jinsi watakavyoishi na wewe kwa miaka yote utakayokua na binti yao.
.
Je, upo tayari kuishi hivyo? je, upo tayari kuitoa furaha yako? je, binti akibadili mawazo na kufuata wazazi wake we utabakije?
.
Kumbuka unapooa hauoi binti unao familia ya binti, na jinsi walivyokutenda mwanzo ndivyo watakavyokutenda kesho.
 
Back
Top Bottom