Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,632
Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati.

Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne,

Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius, John, Jose ,Mudi ,Omari,Shamte nk

Kiufupi haipendezi kwa kweli, tafuteni majina yanayokwenda na wakati hayo yalishapitwa na zama zake .

Kama unavyoona ni ngumu kwa sasa kumpata mzee anaitwa Junior, au Precious 😂😂😂😂😂😂 basi na hayo majina nayo tuachane nayo ,tuangalie majina ya kisasa.
 
Mwanangu wa kwanza alipozaliwa nikataka kumpa jina la kiafrika tena la dynasty mkubwa sana nchini Kenya. Bimkubwa/Bibi yake alimaindi sio poa, akasema kama nataka laana basi yatanikutan akampa jina la baba yake, yani babu mzaa mama. 😁
Kwa hiyo majina wazazi wetu pia wana nguvu zao, wanatakaga yajirudie. Utasikia huyu kafanana na shangazi yake mwajuma masikio, basi anaitwa Mwajuma, Da mwaju. 😁
 
Mimi hapana! tabia zao zianze kumsumbua mwanangu, akhaa! Majina ya kurithi sipendi..
 
Back
Top Bottom