Wazazi kuzini na watoto wao!

Wazazi kuzini na watoto wao!

Ennie hii ni hapa hapa Tz au?

Hapa hapa Tz ndugu,hiyo familia walikuwa ni wapangaji wetu hapa Dar ila wanatokea mkoa mmoja hukoo jirani(?) na mikoa ya kanda ya ziwa,kabila sitalitaja utanisamehe. Yule mama alikuwa akisimulia mambo ambayo kwao ni ya kawaida kabisa unaweza ubishe.
 
Hii kitu iko miaka mingi sana, kwa mfano uchagani wazee wa kimachame walikuwa wakitembea na binti mmoja katika familia ambaye anakuwa anapendwa sana na baba wakiwa na imani hilo linaleta mali/pesa.
 
Naona watu woote wameegemea mtoto wa kike kulala na babake, mnasahau pia kuwa wapo wamama wanao lala na watoto wao wa kuzaa kabisa wala sio ma mdogo. Sasa mnaposema wababa walaumiwe hapo baba kakosea nini? Jadilini kwa ufasaha jambo hili. Tusilaumiane bali tujiulize, kulikoni?
Baba huoni huko nje mpaka uingie home? Mara nyingi, lazima kuna chanzo. Mama unatoka bafuni na kanga moja tu. Hukujifuta, imekugandiana, unajibizana na mwanao wa kiume mambo ya kijinga. Ati nasikia unamsumbua mtoto wa nanihii pale. Acha, kaka zake watakuua mwanangu. Unakaa unamwangalia angalia mwanao. We, hakuachi. Mama unakaa na mwanao mnaangalia movie ati unamngojea babake aje. Huku una kanga moja au night dress nini hii?
Hao wa kike nao vivyo hivyo, mama kachoka zake huko, anaamuru binti yake kwenda kumfungulia babake mlango usiku, kalewa, akifika tu matusi yanamfuata sebuleni, umetoka kwa hivyo visichana vya bar, mtoto wa kike anayasikia anaona kama babaa anafuja hela kwa vijisichana vya baa na kumwacha mamaa basi ni bora nami nimchune babaa.
Nyumba ikitikisika, hakuna dawa.
Hiyo laana haita waacha mpaka mwisho. Binti hataki kuolewa na kijana hataki kuoa tena.

Mkuu nimebaki speachless. Nadhani tukirudi mahali ambapo tulitoka itakuwa jambo la msingi kweli.

Baba akae na kijana wake amfundishe ni jinsi gani anapaswa kuwa kama mtoto na pia kama baba wa baadae.

Mama naye akae na binti yake amfundishe ni jinsi gani binti anapaswa kuwa kama mtoto na pia kama mama wa baadae.

Kwa kuwa hili halifanyiki basi vijana twajiendea tuu. Unakutana na binti ili mradi umemtongoza akatongozeka basi. Binti anafanyiwa sherehe ya 'kupewa vyombo' pale..harusi inafanyika. Wapo kwenye ndoa..ghafla mtoto katokea.. hawajui wamlee vipi..Mmh aloo ipo kazi.
 
Hapa hapa Tz ndugu,hiyo familia walikuwa ni wapangaji wetu hapa Dar ila wanatokea mkoa mmoja hukoo jirani(?) na mikoa ya kanda ya ziwa,kabila sitalitaja utanisamehe. Yule mama alikuwa akisimulia mambo ambayo kwao ni ya kawaida kabisa unaweza ubishe.

Napata picha ya hilo kabila. Bila shaka ni la ki......ngoja na mimi nisitaje. Yaani hao wamama hawana wivu!!?:😡
 
Hii kitu iko miaka mingi sana, kwa mfano uchagani wazee wa kimachame walikuwa wakitembea na binti mmoja katika familia ambaye anakuwa anapendwa sana na baba wakiwa na imani hilo linaleta mali/pesa.

Hizi tabia za kupenda mali zinaharibu sanaaa.
 
Napata picha ya hilo kabila. Bila shaka ni la ki......ngoja na mimi nisitaje. Yaani hao wamama hawana wivu!!?:😡

Mi simo!
Itakuwa sawa kama wataoana wao kwa wao maana nao baba zao wali test so inakuwa ni kawaida,tatizo wakioa makabila mengine ndio mtihani! Sielewi anaanzaje kukuelewesha kuwa mila inataka A,B,C nawe umetulia tu unamsikiliza na hatimaye kuridhia!!!!
 
Asante mkuu. Niongeze swali..je watu wenye hii 'Oedipus Complex'..ni sahihi kuwaita machizi au is it more or less insanity?

naona wataalam wa psychology walishindwa kuipa jina moja kwa moja ndio wakasema ni 'complex'
 
Mi simo!
Itakuwa sawa kama wataoana wao kwa wao maana nao baba zao wali test so inakuwa ni kawaida,tatizo wakioa makabila mengine ndio mtihani! Sielewi anaanzaje kukuelewesha kuwa mila inataka A,B,C nawe umetulia tu unamsikiliza na hatimaye kuridhia!!!!

Mi naona ifike mahali vitu visivyo na tija tuviache. Ni kama sasa hivi pamoja na global warming bado unaambiwa kwenye mahari ulete blanket...badala ya kuambiwa ulete feni za zec ( i hope zipo).
 
naona wataalam wa psychology walishindwa kuipa jina moja kwa moja ndio wakasema ni 'complex'

Kwa kweli ni complex.! Eeh haya mambo ya binadamu haya!! Mungu aturehemu.
 
kweli..hii ni tabia ya mtu binafsi
Kuna mama alisema hana imani na mwanaume yeyote ikija kwa binti yake...nikamuuliza hata mumeo; akasema hata yeye ni mwanaume; Nikabaki na maswali...lakini leo naanza kupata majibu aiseee.

Lakini nikichukulia mfano wa baba yangu mi hiyo naona ni tabia ya mtu binafsi ...ni wale wenye ugonjwa...sisi baba alitulea kidhungu na hajawahi tembea na binti yake...ndio maana sikumwelewa huyu mama alokuwa anamuogopa mpaka mumewe...

Wengine wanakuwa woga kwa kuwa wameona kwa baba zao hivyo hawawezi ku risk....
 
Back
Top Bottom