dhambi nayo ikiisha kukomaa....
huzaaa mauti
dhambi nayo ikiisha kukomaa....
Hii inaitwa baba kala mtaji!
Teh teh teh teh!
Hao wote wawili wana laana!
Km mimi ndio hakimu nakamata yule baba nakata makende kwanza!
Na yule binti naenda kumtahiri ili asipate mshawasha tena! Na naondoa ziwa la kushoto ili aharibike shoo!
Manake laana km hizi ndio zinataka hukumu km hizi!
Mnfnssssssssssss!
Kwa nyakati tofauti pengine hata wewe mwana MMU umewahi kusikia juu ya jambo hili, au pengine limemtokea mmoja wa watu wako wa karibu.
Hili lina pande mbili
a) Ule wa hiari/makubaliano (voluntary). Japo injustifications zinaweza kuifanya aina hii kuchukua sura tofauti, mfano:
-hoja ya 'kurubuni'..japo haibadilishi ukweli kuwa ni kitu kilichofanyika kwa makubaliano.
-Ikiingia hoja ya umri hasa akiwa chini ya miaka 18 nayo pia inahafifisha swala la hiari au makubaliano.
b) Kubaka.
Hili wala halina maelezo mengi.
Baadhi ya mifano hai:
*Nimewahi kusoma shule moja na binti mmoja ambaye alikuwa anasimulia uhusiano wake wa kimapenzi na baba yake mzazi. Na akasema 'hakuna mwanaume yeyote anayeweza kunibabaisha'. Sikuweza kujua walianzaje maana kila ukimuuliza anakuuliza 'na wewe unataka nikupe'?
*Pia imekuwepo habari ya muda kidogo kuhusu mama aliyefunga ndoa na mwanae wa kumzaa huko Ruvuma.
*Kuna kipindi kimoja katika 'radio ya watu'..mama alikuwa anamshutumu baba anatembea na binti yao.
Swali:
Kwa nini mambo haya? Ina maana utu umeisha kiasi hiki? Ni tamaa za mabinti au wababa?
akina mama kuweni macho...asilimia kubwa ya kina baba tunavutiwa na binti zetu, na hasa wanaofanana na mama zao.
Kwa kile kipindi cha radio ya watu mama alisema "binti amekuwa anajivalia nguo za ajabu ajabu na kujipitisha mbele ya baba yake ". Mama akikemea baba anaingilia kati. DEMBA hapa kama ni bakora utamchapa nani kama sio wote?
Huzaa mautiDhambi nayo ikiisha kukomaa....
akina mama
kuweni macho...asilimia kubwa ya kina baba tunavutiwa na binti zetu, na
hasa wanaofanana na mama zao.
Dhambi nayo ikiisha kukomaa....
Dhambi nayo ikiisha kukomaa....
akina mama kuweni macho...asilimia kubwa ya kina baba tunavutiwa na binti zetu, na hasa wanaofanana na mama zao.
incest ina tafsiri nyingi sana. . .Kuna sababu tofauti tofauti(ila zote hazi justify mtu kufanya hicho kitendo)nitaongelea upande wa wanaume.
1. Psychologicaly, mtu kumtamani mwanae kwa kufanana na mama ake(kuna mtu kaitaja hapo juu).
2. Upweke, unakuta for instance baba anaishi na mwanae wa kike tu na ni mkubwa. . Maybe mkewe alifariki kitambo. . .or anafanya kazi mbali na nyumbani, huwa inasababisha ukaribu uliopindukia wa binti kwa babaye kama kumfulia, kumtandikia kitanda, kumuandalia maji ya kuoga, kumpasia nguo n.k, majukumu ambayo unakuta msaidizi wa ndani(house maid) hawezi kuyafanya na ni mambo aliokua akifanya mke as a result ukaribu unakutania kwenye nyuchi zao.
3. Ulevi. . .(Need i explain this further?)
4.Ushirikina. . .kuna wimbi la waganga ambao wana shauri kutembea na mzazi kama suluhisho la mtu kimafanikio.
5.Nk.
Mwenye zaidi anakaribishwa.
mahusiano ya baba na binti husababishwa na kuiga western and american life culture! Kwa wazungu baba na binti kupeana busu shavuni au kwenye paji la uso na kukumbatiana ni sign of family love na imejengwa hivyo from generation to generation. Tunapo copy na ku paste this culture basi inaleta mixed feeling kati ya love inayotegemewa kujengeka!
Mkuu hii umeiweka vizuri sana. Sasa vipi kwa upande wa binti??