Rais wao pia ni Mbara .....!!Mbona rais wao anateuliwa bara kwanza ndio wampigie kura
PoleeeMida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo
Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo
Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea
Zanzibar ni nchi kamili ina raisi wake,tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk
Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Wako sahihiMida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo
Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo
Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea
Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk
Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Hawana lolote hao bali ni mpanga wa Seif na genge lake wabaki huru kushiriki SUK.Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo
Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo
Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea
Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk
Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Watu tuna uhuru wa kuiongelea nchi yoyote duniani achilia mbali zanzibar.Wako sahihi
Zitto Kabwe na Lisu waliongelea msimamo wa vyama kuwa hakuna kushiriki serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar wakati wao sio wazanzibari wala wapiga kura wa ZanzibarWatu tuna uhuru wa kuiongelea nchi yoyote duniani achilia mbali zanzibar.
Usahihi wake ni upi.
Tumemwongelea Trump kwani Marekani siyo nchi huru?
Visirani tu.
Vipi mbona Hussein Mwinyi amepigiwa kura na wajumbe wa CCM kutoka bara?Zitto Kabwe na Lisu waliongelea msimamo wa vyama kuwa hakuna kushiriki serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar wakati wao sio wazanzibari wala wapiga kura wa Zanzibar
Rais wao ametoka Mkuranga na amechaguliwa Dodoma.Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo
Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo
Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea
Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk
Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Acha ufamba,majina matano ndio yalitoka zanzibar kwenda Dodoma kupigiwa kura na wajumbe wa NEC!uteuzi ulifanyika Zanzibar sio bara