Wazanzibari waambiwa wawe na vitambulisho vya mtanzania, hii inaashiria nn?

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
336
144
Miaka miwili iliyopita kila mzanzibar alitakiwa awe na kitambulisho cha kumuonyesha yeye n mzanzibar.! Lakn mwaka huu nimepewa taarifa na mama yang yupo pemba kua wameambiwa wawe na kitambulisho cha mtanzania na kwa pemba wilaya ya wete zoez hilo limeanza jana.! Sasa wana jamii forum naomb kujua hii inaashiria nn..???
Ahsanten
 
Back
Top Bottom