Liyan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 300
- 893
Jambo Jambo?
(Tafadhali sitaki kukashifiana na mtu, nimekula ban kama nne mfululizo mwezi huu.Kama unaona uzi haukufai usikomenti)
Kama umeshawahi kufika Zanzibar au kukutana na wengi wao bara utaona muundo wa vichwa vyao walio wengi kuna shepu maalum.
Kumekuwa na dhana potofu iliyoanza miaka ya nyuma sana na pengine nahisi ilirithiwa toka enzi za ukoloni japo sina uhakika kwasababu sijaona waarabu( wenye asili ya dini) wakienenda na hiyo dhana.
Mtoto akizaliwa Zanzibar basi huwa analazwa kwenye vibati au sakafuni upande wa kichwa kwa miezi kadhaa bila kugeuzwa geuzwa(mtoto analalia mgongo tu)ndani ya ule mwaka wa kwanza aliyozaliwa, ili kutengeneza shepu ya kichwa kuwa bapa nyuma kwa madai ya kuwa “AKIVAA BARAGHASIA APENDEZE”
Hili ni Tatizo na inapelekea kuwa na hitilafu kwa ukuaji wa ubongo na ku “function” properly kwa ubongo na kusababisha mfumo wa fahamu wa mwili kutofanya kazi vizuri.
Yani unabadilisha shepu ya kichwa cha mtoto tena sehemu nyeti ya ubongo kisa tu aweze kuvaa hiyo kofia ya kidini.
Hivi Tulirogwa na nani??
Serikali iingilie kati na kutoa mafunzo na kuondoa huu ujinga kwa baadhi ya wazanzibari wenye uelewa mdogo.
HIVI SI KUKOSOA UUMBAJI WA MUNGU KWA KUMREKEBISHA MTOTO ASIWE NA KISOGO??
Kutwa kuwasema wadada wanaobadilisha shepu na pua na vingine hili je?
WAZANZIBARI WABADILIKE SAWA?