Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Hii picha ya kwenye movie acheni ushamba..
Ungetusaidi na JINA LA HIO MOVIE UNGEFANYA LA MAANA SANA!
Vinginevyo nadhani ushamba hautokuwepo kwangu!
Hii picha ya kwenye movie acheni ushamba..
Halafu tufahamishe machifu tanganyika walikuwa wanawakusanya vipi watumwa.
Wewe ndo umeng'ang'a na vitabu vya w Ingrams bila kujua yeye anaweza kuwa driven na self emotions na akaupindisha ukweli.
Historians estimate that between
650 and 1900, 10 to 18 million
peoples were enslaved by Arab
slave traders and taken from Africa
across the Red Sea , Indian Ocean ,
and Sahara desert. [4][5][6][7] The
term Arab when used in historical
documents often represented an
ethnic term, as many of the "Arab"
slave traders, such as Tippu Tip
and others, although with distant
patrilineal descent from Arabs,
were physically indistinguishable
from the "Africans" whom they
enslaved and sold. Due to the
nature of the Arab slave trade, it
is impossible to be precise about
actual numbers.hiyo ni kwa mujibu wa vitabu vilivyokusanywa na kuusaka ukweli....
Kuhusu ushahidi juu ya watumwa waliochukuliwa unataka kusema wanaume hawakuwepo? Na ukitaka kujua iwapo waarabu walianza biashara ya utumwa lini rudi kwenye vitabu
Poor lumanyisa, Ivyo unaniletea copy and paste ya Wikipedia pahala ambapo hata mwenda wazimu anaweza kuhariri na kuweka atakacho. Teh teh.
Yaani unataka kunambia huyo Ingrams alikuwa na self interest gani hata akawa anafichia Waarabu, uongozi wa British Empire nzima imemuamini na kumleta yeye Zanzibar ili akusanye data na akatoa hiyo ripoti serikalini kwao na kuaminiwa na kupata tuzo ya kifalme kwa kazi nzuri alofanya wewe unasema he was driven by self interest haya basi niletee report ilomkanusha yeye mpaka leo karne nzima baadae.
Mimi naipinga ile study ya kisayansi ya kina Hume kuwa waafrika hawawezi kufikiri maana nina mchanganyo wa damu ya kiafrika nina wajamaa wengi wenye asili ya kiafrika wakiwemo wapwa na mabibi na mashangazi, sikubali hawa wadhalilishwe kabisa! Lakini labda kulikuwa na watu wenye fikra kama zako walitumiwa katika maabara yao ndio maana wakatoa ripoti ile.
Pole sana, maana hujanitajia kitabu hata kimoja. Lakini nitakusaidi ili upate mwanga uelimike nakuomba nenda pale Mlimani UDSM katafute hivi vitabu kimoja cha huyo Ingrams na chengine kinaitwa "Zanzibar" by J. PEARCE huyu yeye ndie aliekuwa British Resident Zanzibar kabla ya Lord Mathews.
Pia katafute kitabu kinaitwa "Zanzibar The Staples of East Africa", ila kajifunze kwanza kusoma Kijerumani ili uweze kukisoma.
Pole sana!
Shule ipi sasa? Labda nikuulize wewe na Mbowe au Lema nani alikimbia shule tuanzia hapo.Tatizo lenu shule shule shule Al Ritz...unataka ufahamishwe hadi hao machifu walikusanya vipi watu,we ukisikia Abushiri ameuza waswahili wenzake unajua yeye ndio alifanya kila kitu? awa walikuwa viongozi...Ni kama leo uambiwe Al Bashir kaua raia wake,utauliza aliwauajeuwaje??someni ndugu zangu.
Shule ipi sasa? Labda nikuulize wewe na Mbowe au Lema nani alikimbia shule tuanzia hapo.
Hivi wewe una hoja gani humu ulishaandika nini cha maana kwa akili yako mimi naweza kukukimbia wewe si bora nijiuwe kauzu kama wewe una hoja gani JF kuna vituko...teh teh tehUmeshindwa hoja unatafuta pakuchomokea...ila sikushangai ndio uwezo wako wa akili unaishia hapo,shule hamtaki ila wajuvi wa kupiga soga,ndio maana hapa jamvini haujawai toa lolote la msingi zaidi ya ushabiki....debe tupu?
Hivi wewe una hoja gani humu ulishaandika nini cha maana kwa akili yako mimi naweza kukukimbia wewe si bora nijiuwe kauzu kama wewe una hoja gani JF kuna vituko...teh teh teh
Nakuunga mkono kwa 100% udogo wa eneo na uchache wa wananchi sio hoja ya msingi ya Z'bar kushindwa kujitawala. Tujiulize kwani kila kukicha serikali yetu inatangaza wilaya na mikoa mipya? Jibu kutoka kwa watawala wetu nini? kama jibu ni kusukuma maendeleo na kutawala kiurahisi iweje leo Z'bar ishindwe kujitawala au kujiletea maendeleo kwa sababu ya udogo wake? Tuwe wakweli Z,bar ikiwa na mamlaka kamili inaweza kuendelea zaidi kuliko hivi ilivyo. Tujiulize wazanzibari watashindwa nini ambacho Tanganyika inafanya? kuomba misaada? Kipi ambacho Tanganyika tunajivunia?, hata hivyo ambavyo tunasema tunawasaidi wazanzibar wenyewe tumepata kwa kulialia, kuombaomba kwa wazungu. Rais wa Z,bar hata shindwa kuomba misaada kama anavyofanya rais wa jamuhuri.Ndugu ukubwa wa eneo ktk nchi ama wingi wananchi si hoja madhubuti ya kuiona nchi haiwezi kujitawala. Zipo nchi zenye wakazi chini ya milion 1 na zina utawala kamili kama nchi. Hoja hapa Wazanzibar huu si muda wa malalamiko tu, ni wakati pia ma kuweka mikakati tunajipangaje kama nchi kua nje ya muungano? Naamini huu moto tuliouwasha sisi kwa makele wenzetu watanganyika wanajiandaa kimyakimya.
Teh teh teh! Wewe kweli ndiyo unajua kuandika? nimeona ulivyoandika nimecheka sana wewe Mkinga utanifundisha mimi kiswahili eti "Madhala" eboKuandika kwenyewe uwezi,kweli nchi inawatu wengi wasiojua kuandika,au ndio madhala ya anticlockwise!! ila tatizo lako linafahamika sana,na tutawanyoosha..Mpaka muione kweli na muipokee,kwa kupenda au kutopenda.
Teh teh teh! Wewe kweli ndiyo unajua kuandika? nimeona ulivyoandika nimecheka sana wewe Mkinga utanifundisha mimi kiswahili eti "Madhala" ebo
Kwi kwi kwi kwi!
Ngoja nami nichangie.Nakuunga mkono kwa 100% udogo wa eneo na uchache wa wananchi sio hoja ya msingi ya Z'bar kushindwa kujitawala. Tujiulize kwani kila kukicha serikali yetu inatangaza wilaya na mikoa mipya? Jibu kutoka kwa watawala wetu nini? kama jibu ni kusukuma maendeleo na kutawala kiurahisi iweje leo Z'bar ishindwe kujitawala au kujiletea maendeleo kwa sababu ya udogo wake? Tuwe wakweli Z,bar ikiwa na mamlaka kamili inaweza kuendelea zaidi kuliko hivi ilivyo. Tujiulize wazanzibari watashindwa nini ambacho Tanganyika inafanya? kuomba misaada? Kipi ambacho Tanganyika tunajivunia?, hata hivyo ambavyo tunasema tunawasaidi wazanzibar wenyewe tumepata kwa kulialia, kuombaomba kwa wazungu. Rais wa Z,bar hata shindwa kuomba misaada kama anavyofanya rais wa jamuhuri.
Umeamia kwenye kahawa teh teh teh!Haujawai kuwa na hoja,na haitakaa itokee...Mlevi wa kahawa.
Teh teh teh! Wewe kweli ndiyo unajua kuandika? nimeona ulivyoandika nimecheka sana wewe Mkinga utanifundisha mimi kiswahili eti "Madhala" ebo
Kwi kwi kwi kwi!
Watanganyika nao wana bandari nyingi tu, je mumejiandaa vipi kama wakiamua kuiingilia "game".Nje ya muungano, unaifanya Zanzibar iwe nchi ya kibiashara tu na kuitangaza kuwa free port. Hapo unamaliza kila kitu.
Pamoja na kwamba binafsi siupendi hu muungano na ningependa ufe hata leo lakini nahisi hujamjibu maswali yake aliyo uliza, idadi ya miaka sio tija, kwa mtazamo wangu mmefika hapo kwasababu mlikua mnalishwa na jirani, yaani ni watoto wasiokua, umri mkubwa lakini chakula na mahitaji yote muhimu mlikua mnapokea toka Bara"Haa! hivi kwani kabla ya huu muungano tulikuwa tukijiendeshaje? tumetimiza miaka 50 ya uhuru na mapinduzi, hivi lengo la yote hayo tuyasalimu mamlaka yetu kwa nchi nyengine atuendeshee?
Unavyoongea ni kam Mh Nahodha, kisha anaunyemelea Urais wa Zanzibar wakati tayari hajiamini kiulinzi wala kiuchumi. Wapo wanoweza na ndio tutowaweka madarakani 2015"