Imeendelea kwa uchumi wa vitu lakini watu wenyewe wana maisha magumu. Graduate unakuta anapokea mshahara labda laki mbili na vitu bei ghali. Kumiliki gari hata vitz ethiopia si jambo la mchezo maana vitz hizi hapa unainunua used dubai na ushuru milion 8 kuna haikawii fika 20 mls za kitz
Sio roho ngumu,,,wagiriki nao ni wabaguzi wa kiwango cha kati...maana store away yeyote akitokea kwenye meli,,,,si ruhusa kumtosa baharini,,inatakiwa kuwahudumia vizuri hadi next port wanashushwa,,, lakini anaweza akapata hata kazi humo humo melini kama akipata captain au chief officer mwenye roho nzr,,,maana kama meli inatumia three weeks au mwezi majini na waendako bado ni mbali,,, captain anaweza kuwapa day worker ili wakifika next port wanashushwa na kupewa chao,..na kama. Captain akikupenda anakupa mtaa next port,,,...watu wengi waliotoswa baharini kutoka ktk meli za KIGIRIKI na Philippines ,,,hao nao ni TATIZO jingine...waphilipino hawana tofauti na wachina na wahindi kwa mtu mweusi,,,,kwahyo mkuu hao wagiriki wanasumbuliwa na UBAGUZI kwa mtu mweusi tangu zamani...watu wengi walioingia ulaya kwa meli ni sababu ya kukutana na captains wazuri na sio wabaguzi..Kipindi hicho meli za kigiriki zinasifika kwa kuwa na mabaharia wenye roho mbaya..!
zamia SK
Sio woga, na uzee huu niende kuanza moja? Halafu mbele ya miaka hii ni tofauti kabisa na 90s huko. Uliza wanaopata green card miaka ya sasa wakuambie.Acha woga mpare wewe
Kuna kubeba box na malipo mazuri japo pia maisha expensive ila unaweza kusanya ukawekeza huku
Huwa nasoma post zako mara kwa mara. Conclusion niliyofanyani kuwa wewe huenda ni mwanamke, mwenye nyumba iliyojenga mwenyewe, watoto 2 na mjasiriamali mwenye maisha mazuri!Tunajifunza tu..unajipa mwezi mzima kupractice! Kazi yyt ile sie tutafanya!
hujakosea anachangamsha genge.Huwa nasoma post zako mara kwa mara. Conclusion niliyofanyani kuwa wewe huenda ni mwanamke, mwenye nyumba iliyojenga mwenyewe, watoto 2 na mjasiriamali mwenye maisha mazuri!
Ni basi tu Watu tuna mitazamo tofauti.Kwani hapo bongo pana mikosi gani mkuu? pakoje yaani?
katka story nzma ww umeona hili la korodan tu???
Kweli mkuu, au ungekua marehemu.Enzi hizo 80% wanafunzi wa secondary tulikua na hizo ndoto nikiwemo! Ile spirit ilikufa rasmi 2003! Sijawahi tamani tena! Dah ukute ningekuwa na uraia mambele huko!
At 40+ una familia, either mke na watoto tena wanaoenda shule kabisa, una kazi(hata kama sio ya kipato kikubwa), hutakiwi kujifikiria wewe kama wewe, at 20+ unawaza "mimi", huna majukumu ya kifamilia hivyo kujilipua ni rahisi sana. Sasa mdada upo 30+ na watoto watatu unamuachia nani hao watoto ili ukahaso majuu, tena uende uingereza leo hii hadi utoboe utaona aibu hata kurudi bongo.Muda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
Nimekwambia rafiki yangu ni miaka hiyo ya 90 ndo kwanza nilikuwa nimeanza shule
Huwa nasoma post zako mara kwa mara. Conclusion niliyofanyani kuwa wewe huenda ni mwanamke, mwenye nyumba iliyojenga mwenyewe, watoto 2 na mjasiriamali mwenye maisha mazuri!
kila kitu kinawezekana ukiamua tu mkuuSio woga, na uzee huu niende kuanza moja? Halafu mbele ya miaka hii ni tofauti kabisa na 90s huko. Uliza wanaopata green card miaka ya sasa wakuambie.
Sasa mtu umefikia mafanikio hayo unatangatanga nini huko majuuHhaahhaah..shindwa
Tusiwe selfish kwa watoto wetu, wakati wetu huenda unapita, tena kwa kasi ya mwanga, tutulizane tuwalee.kila kitu kinawezekana ukiamua tu mkuu