Wazamiaji wa miaka ya 90

Halafu baadae msikike mkisema mwafrika sawa na mweupe wakati nyie wenyewe mnawatamani weupe. Inaelekea tunapigania kitu ambacho hata wenyewe hatukiamini
Labda nikwambiye kitu mkuu,,,,ukiwa ulaya mwanamke mweusi anakuwa na thamani sn,,,,nikisema mweusi namaanisha wale Dada zetu weusi tii,,,hivyo basi wanawake kama waethiopia wanapatikana kwa urahisi sana tu...nimewafaidi sn nikiwa Turkey... Na Greece,,, wengi Wanakuja kule hawana ndugu au hawajuwi pa kwenda,,..baada ya camp kama ya two weeks wanaachiwa mitaani ,,hapo ndy shida pa kulala,,,huwa tunawasubiri bus au train statations,,,, so tunajichagulia tu,,,,unaishi nae na kuzaa nae watoto kabisa,,,ila siku akikutana na ndugu zake jiandae kisaikolojia...kwahyo watu wanapogegeda hao ni kwamba huweziwapata maeneo mengine mkuu zaidi ya wakati wa shida zao,,,hao nao ni wabaguzi mno kwa ngozi zetu hizi nyeusi tiiiii,,,,ndy maana tunawafungia kazi tukipata nafasi kuwapekenyua....hadi kieleweke..lakini black woman is the best...everywhere Mkuu....
 
Raha ya kuzamia uwe early/mid twenties, sasa mtu yupo 40s huko si unataka ukafie mbele! Kuzamia kunataka matumizi ya nguvu na akili.
Muda huo bado hujachelewa,,,kila mtu anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukijieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,
je ukiwa na passport ya ulaya huoni kama ni fursa?

unaweza ukaja tanzania kuendelea na maisha mengine hapa bongo ,

,lakini pia ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,,

huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..

usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,

lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
 
Nakumbuka kitambo kile mabaharia wengi waliwekeza kwenye biashara ya macoster
Kubeba Abiria tena wakati ule coaster inanunuliwa mpyaaa 0 km..... Sasa Soma machata nyuma ya gari
Kile kilichokuwa kinaandikwa ndy walikuwa wanakiwakilisha
Eg.... Time will tell, survival, mv Saratoga, Italy trans, Jimmy to london

R. I. P BOZEN, PERADI, VASCODAGAMA, MGIRIKI MWEUSI

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kama nina 30 Ni disadvantage!!!
Si unajua baada ya huo kama haujajiwela sawa kimwili, kiakili au hata kiuchumi basi unajikuta una muonekana kama wa mzee, hata mishe za kukimbizana zinaweza kukushinda
 
KUN KUNA Msela MMOJA ALINIPA
8MIL zakumpa mamaake joberg
Mwaka aujapitaaa nashukatoka Uganda nakuta degejeupe nkajuamasela wamerudi

Hamadaa nawakutaa immigration namkutamsela huyoo wachaaitee Kama kurudishiwa uzazi.. Dah.. Nkapambana Msekwa akatoka.... Storyyake unaweza kulia hapana kibambaaa achenitu
 
Ukiwa kwenye list ya viongozi wa juu wa ccm uta enjoy maisha ukiwa hapahapa Tanzania. Tatizo ni kwamba wanasiasa washirikina sana
 
Alifanikiwa kufika huko alipokua anataka kwenda
 
Noma

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Root ya kupitia Suda. Kuitafuta Egypt iliukwakwae pipa uingie ulaya katikati hpo lazima ukutane na mambo ya kutisha....... Kuna watu wengi mpk Leo wamepoteaaa hawajulikani walipo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Waarabu ni wabaguzi sana tu tena ubaguzi wao ni wa kinyama zaidi kuliko wazungu
 
Magomeni ndioopalikuwa
Chuoo
Wakanza kupotea walipojiingiza kwenye madawa ya kumesa ikawa kila anaensa njekuzamia lazima ajaribu kushuka namzigoo DOH

Wengi Walikufa juu kwajuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…