Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Njia ya maji naskia rahisi....ngoja nikaolewe tu huko hakuna jins nipate pepaNauli inatafutika kirahis kabisa sema inshu n le français embrasse niwaeleze nn waniruhusu mana nimefatilia naona kuna kaugumu Yan sio easy kama south Africa au kwa watan zetu Kenya
Niaje ma men ..umepotea grupuniYeah nakubaliana na wewe mkuu, though science & technology hiyo ya sasa pia imeleta ugumu kwa namna fulani kwa wazamiaji wa sasa kwenye kuzamia, mambo yamekuwa computerized sasa hata taarifa zako once zipo kwenye system basi zinaweza kufika sehemu yoyote refer kesi za zamani watz kujilipua ni wasomali sasa ni mwendo wa electronic passport ukipita airport tayari taarifa zako zinakusanywa, zile janja janja za kizamani hakuna sasa, kadri teknolojia inavyokuwa ndio wazamiaji nao wanakuwa more advanced na mbinu kali zaidi [emoji28]
Ni kweli mkuu,,kipindi kile nakumbuka ni inchi nyingi tulikuwa tukiingia bila viza..nakumbuka ni UK...na Hata inchi za Scandinavia,,,Denmark,, Norway,, Finland,, Sweden,, tulikuwa ni free entry... Unanijuwa nini kilisababisha viza?mkuu?ni tamaa zetu wenyewe mkuu,,,na ujinga wetu,,ulisababisha kuanza kuwekewa vikwazo vya viza....
Mkuu bado watu wanaingia ulaya kwa njia za panya,,,,Dah!brother umeni inspire sana sijuhi kama hizo njia bado wanatumia na mfumo wenyewe huu wa kierectronic
~ mkuu ukifika majuu,tafadhali Niko chini ya miguu yako...naomba uje kunioa nami nifaidi maisha ya majuu...Hhhaaa...wengine hatuna njaa unayowaza ww mkuu!...binafsi natamani kutoka nje nione kuna vitu gani...kuongeza tu upeo!..thts all!
Kwema mkuu, mambo yaliingiliana sana hapa kati soon nitatokea huko.Niaje ma men ..umepotea grupuni
Tanzania miaka ya 95 kurudi nyuma,,, tulikuwa tunaingia free entry inchi za Scandinavians ,,,na UK,,,na kipindi hicho ilikuwa somalia vita vimepamba moto,, hakukaliki,,,na huko Nigerians nao hawashikiki kwa kusafirisha madawa ya kulevya kila kona,,na hata wahindi na waafrica wengine wasio watanzania ilikuwa njia yao kubwa ni tanzania ,, wananunuwa passport na kutokomea UK au inchi yeyote ambayo tanzania hatutumii viza,,,mbaya zaidi wakikamatwa huko wakibanwa wanasema pasport wamenunuwa tanzania,,,mfano wasomali,,,au wahindi wao walikuwa wakifika UK hawana cha kujieleza zaidi ya kusema mimi ni mkimbizi,,,baada ya kuhojiwa wanasema sisi sio watanzania bali ni wasomali,,,au muhindi na sio mtanzania,,,lakini ,pasport tumenunuwa tanzania,,,,ikawa migrants kibao wanamiminika ulaya,,Canada ,,na UK,,,,,nakumbuka wakati ule passport za Tanzania zilikuwa za picha tu,, ,,,sasa kilichokuwa kinafanyika ni raia wasiokuwa wazalendo kuuza passport zetu kwa wasomali na Nigerians,,wahindi au mataifa mengine,,,, ,nakumbuka pia wakati ule migration hakuna hata computer zaidi ya kuandika jina kwenye daftari,,,basi passport watu wanabandua picha zinawekwa za wahusika wengine,,,hakuna record zozote,,mtu mmoja a naweza kumiliki passport hata 3 majina tofauti,,baadae mtu akitaka haraka ya safari unamuuzia,,,,,,watu wanasafiri tu,,,kipindi kile wahindi wengi sn,,na wasomali waliingia UK na Canada kupitia passport zetu,,,hadi wazungu kuja kushtuka na kutuwekea viza walishaingia wengi sn ULAYA na UK,,mbaya zaidi kuna ambao walikuwa wanapewa passport ofisi za immigration kabisa,,na hawakuwa watanzania,,na hata kiswahili hawajuwi,, zamani ilikuwa unaweza ukapewa passport nyumbani,,, na hata ofisi za uhamiaji hufiki,,,,hilo ndy tatizo lililofanya wazungu watuweke viza,,,maana ilikuwa ni fujo tupu ulaya na UK..na hata. Canada...kuna kipindi nakumbuka kuna wasomali kam 10 walikamatwa JNI airport na passport za Tanzania lakini sio watanzania,,, kuna kiongozi Fulani wa migration alikuwa akiwasaidia kusafiri,,,ni muda kidogo nishasahau mkuu...nakumbuka hata vijana wengi sana wlikwenda UK kipindi kile cha Cuf na mabomu ya Zanzibar,, wengi waliingia UK kwa kisingizio cha vurugu za Zanzibar,,, sababu ilikuwa ni free entry viza,,, ni ticket yako na kula mwewe tu,,,hakuna longo longo,,,sasa nimekuwa very tight.... Kupata viza,,,kama tungekuwa makini kulinda passport zetu basi hadi Leo tungejuwa tunaingia free ulaya,,,kama Malawi ,,,Madagascar,, south Africa,,zipo inchi Fulani Fulani,,hadi Leo ulaya ni free entry,,sababu ya ugumu wa passport zao,,,,Kweli, Mkuu hebu fafanua kidogo hapo ilikuwaje mpaka ikawa hivyo?
Masuala ya viza
Hahhaaha nimecheka....mie sitakuweza....~ mkuu ukifika majuu,tafadhali Niko chini ya miguu yako...naomba uje kunioa nami nifaidi maisha ya majuu...
Tanzania miaka ya 95 kurudi nyuma,,, tulikuwa tunaingia free entry inchi za Scandinavians ,,,na UK,,,na kipindi hicho ilikuwa somalia vita vimepamba moto,, hakukaliki,,,na huko Nigerians nao hawashikiki kwa kusafirisha madawa ya kulevya kila kona,,na hata wahindi na waafrica wengine wasio watanzania ilikuwa njia yao kubwa ni tanzania ,, wananunuwa passport na kutokomea UK au inchi yeyote ambayo tanzania hatutumii viza,,,mbaya zaidi wakikamatwa huko wakibanwa wanasema pasport wamenunuwa tanzania,,,mfano wasomali,,,au wahindi wao walikuwa wakifika UK hawana cha kujieleza zaidi ya kusema mimi ni mkimbizi,,,baada ya kuhojiwa wanasema sisi sio watanzania bali ni wasomali,,,au muhindi na sio mtanzania,,,lakini ,pasport tumenunuwa tanzania,,,,ikawa migrants kibao wanamiminika ulaya,,Canada ,,na UK,,,,,nakumbuka wakati ule passport za Tanzania zilikuwa za picha tu,, ,,,sasa kilichokuwa kinafanyika ni raia wasiokuwa wazalendo kuuza passport zetu kwa wasomali na Nigerians,,wahindi au mataifa mengine,,,, ,nakumbuka pia wakati ule migration hakuna hata computer zaidi ya kuandika jina kwenye daftari,,,basi passport watu wanabandua picha zinawekwa za wahusika wengine,,,hakuna record zozote,,mtu mmoja a naweza kumiliki passport hata 3 majina tofauti,,baadae mtu akitaka haraka ya safari unamuuzia,,,,,,watu wanasafiri tu,,,kipindi kile wahindi wengi sn,,na wasomali waliingia UK na Canada kupitia passport zetu,,,hadi wazungu kuja kushtuka na kutuwekea viza walishaingia wengi sn ULAYA na UK,,mbaya zaidi kuna ambao walikuwa wanapewa passport ofisi za immigration kabisa,,na hawakuwa watanzania,,na hata kiswahili hawajuwi,, zamani ilikuwa unaweza ukapewa passport nyumbani,,, na hata ofisi za uhamiaji hufiki,,,,hilo ndy tatizo lililofanya wazungu watuweke viza,,,maana ilikuwa ni fujo tupu ulaya na UK..na hata. Canada...kuna kipindi nakumbuka kuna wasomali kam 10 walikamatwa JNI airport na passport za Tanzania lakini sio watanzania,,, kuna kiongozi Fulani wa migration alikuwa akiwasaidia kusafiri,,,ni muda kidogo nishasahau mkuu...nakumbuka hata vijana wengi sana wlikwenda UK kipindi kile cha Cuf na mabomu ya Zanzibar,, wengi waliingia UK kwa kisingizio cha vurugu za Zanzibar,,, sababu ilikuwa ni free entry viza,,, ni ticket yako na kula mwewe tu,,,hakuna longo longo,,,sasa nimekuwa very tight.... Kupata viza,,,kama tungekuwa makini kulinda passport zetu basi hadi Leo tungejuwa tunaingia free ulaya,,,kama Malawi ,,,Madagascar,, south Africa,,zipo inchi Fulani Fulani,,hadi Leo ulaya ni free entry,,sababu ya ugumu wa passport zao,,,,
Kupitia Comoro pamekua pagumu mno babu. Watu wa Mayotte wamewahi ku protest kwa serikali kuu kutokua makini kulinda mpaka kwa kile kinachoelezwa kuingia kwa wingi wahamiaji haramu kutoka Comoro. Ipo hivi, kihistoria watu wa Comoro na Mayotte ni jamii moja sema hawa wa Mayotte walishtuka wakataka waendelee kuwa chini ya Ufaransa. Inasemekana walikua wakishinikiza na wenzao wa Comoro...Comoro wakakataa. Sasa watu wa Mayotte hawataki shobo na wacomoro na wana wananga na kuwabagua sana. Kimsingi hawa wote asili yao ni huku kwetu Tanzania. Ndiyo maana wana tabia sawia kabisa na za wabongo.Mkuu Mimi nimefaidi sana nilipokuwa France,,, hao mayyote wana TV yao kabisa ktk Chanel za France...ni Kama bongo tu mkuu...na kuna programs maalum kwa ajili ya inchi zote zilizo under France territories.... Ni pazuri sana mkuu ,,kuna fursa zote kama upo France... Nadhani kujisogeza kwake pale ni kuitafuta Comoro kwnza halafu Mayotte sio kesi kutoka Comoro.....
Ukitaka kufika mayyote lazima uombe viza ya France ,,halafu unaingia bila shida. ,,,,ukiwa Mayotte ni kama upo Paris au Lyon ,,unahesabika Kama ni moja kati ya mji wa France,,,hawahesabu kama koloni,,yaani kila kitu chao ni kama upo France...kuanzia shule,,haki za raia na kila kitu...na raia wa Mayotte ana haki sawa na raia yeyote wa ufaransa wa mji wowote ndani ya France ,na akienda France ni kama anakwenda mkoa mwingine. ,lakini hapo wanahesabika Kama wapo France,,na vitambulisho vya kifaransa,,na ukipagusa hapo kisiwani ni sawa na kuigisa France,,,halafu sijuwi ilikuwaje France kuhodhi 80% ya visiwa vingi duniani wakati wa makoloni,,,karibu visiwa vyote Africa vilichukuliwa na France,ni unguja na Pemba tu hawakutia miguu,hata huko America kusini,,na sehem zingine walishindwa vita kugombea visiwa,,,lakini duniani visiwa vingi ni koloni la France,, sijuwi wana siri gani hawa watu...Nimechek wamenielekeza direct France embrasse hata pesa yao huko wanatumia Euro sasa hapa nawaza niwaambieje France kuwa nataka niende kwenye kolon lao Pia njia ya maji n muda mno unakaa kwenye maji sina uhakika kama n boti Au Meli nipe mchongo wa bila passeport inakuaje
Kweli mkuu ,,kipindi kile watanzania wengi walikamatwa ulaya kwa makosa ya madawa ya kulevya,,lakini kumbe ni Nigerians ,,passport zilianza kuchafuliwa pale,,,wakati wa mfumo wa passport zile mataifa hayakuwa salama mkuu,, watu walikuwa wakiuza na kununuwa passport kama karanga,,,na ni ngumu sn kugundua,,,Daah! Inasikitisha sana kuona watu wengine wana tuharibia sifa yetu ya Utanzania!
Hyo umefanya application sehemu au wamekutafuta wao hao jamaa?kuna Nigerians na Senegalese ni matapeli wa mitandaoni,,, kuwa makini mkuu,,,,ukitaka viza za za majuu waone watu husika watakusaidia kupata viza,,wachana na hao wa mitandaoni,,,Mimi mwenyewe juzi nimepata email ya Dada mmoja anasema yeye ni pilot,,,ni UK citizen,,, baada ya kama siku mbili tatu akanipa email ya mtu ambaye ni agent ili anisaidie mambo yangu,,,,akanipa na namba za simu,,,jinsi alivyoniingia akawa anataka jina langu kamili,,address nilipokuwa,,na kazi ninayofanya,,na kampuni yangu,,nikastuka sn,,maana nawajuwa ,,hawa watu wa mitandaoni,,, pale pale nikasave namba zile za simu,,, halafu nikaingia google kuangalia ile code ya zile namba ilikuwa 221 kama sikukosea,,,,,kuchek ikaja Senegal,,, OK ,,nikasema sasa napigwa,,nikawablock wote,,,so mkuu weka red alert kwa yeyote anayekutafuta mitandaoni kwa kigezo cha kwenda majuu,,,hao ni Nigerians na Senegalese.... Mind tht bro..Wadau natumiwa email nisaidieni Wenye uzoefu View attachment 1477782
Hyo umefanya application sehemu au wamekutafuta wao hao jamaa?kuna Nigerians na Senegalese ni matapeli wa mitandaoni,,, kuwa makini mkuu,,,,ukitaka viza za za majuu waone watu husika watakusaidia kupata viza,,wachana na hao wa mitandaoni,,,Mimi mwenyewe juzi nimepata email ya Dada mmoja anasema yeye ni pilot,,,ni UK citizen,,, baada ya kama siku mbili tatu akanipa email ya mtu ambaye ni agent ili anisaidie mambo yangu,,,,akanipa na namba za simu,,,jinsi alivyoniingia akawa anataka jina langu kamili,,address nilipokuwa,,na kazi ninayofanya,,na kampuni yangu,,nikastuka sn,,maana nawajuwa ,,hawa watu wa mitandaoni,,, pale pale nikasave namba zile za simu,,, halafu nikaingia google kuangalia ile code ya zile namba ilikuwa 221 kama sikukosea,,,,,kuchek ikaja Senegal,,, OK ,,nikasema sasa napigwa,,nikawablock wote,,,so mkuu weka red alert kwa yeyote anayekutafuta mitandaoni kwa kigezo cha kwenda majuu,,,hao ni Nigerians na Senegalese.... Mind tht bro..
Niliwahi kujiunga kwenye green card lottery sasa ndo kuna muda napata email za kwenda Canada USA Na autralia kama hii saiv ni ya USA nimetumiwa
View attachment 1477984
Inawezakuwa really Fanya process mkuu.....lakini Kama ingekuwa jamaa wamekutafuta wao,,nisingekushauri maana mwisho utaambiwa weka kiasi Fulani kwenye acc hii...