Mkuu sikutaka kukaa ulaya,,,nikuwa Italy na Spain mwaka 2015 /2016 nikarudi bongo,,nikaenda tena Swiss nikawa France 2019 kwahyo mm sikutaka kukaa kule,,,sababu ya shughuli zangu,,,.now nipo kwenye mandonga,,,,Mkuu ungekomaa Saizi ungekuwa moja ya nchi za ulaya.
Duuuuuuuuh walllah npo tayar kufia huko France, lazima nizamie hukooohMkuu inchi zinazotoa allowance kubwa kwa raia wake kwa mwezi ni France,,,Italy,,Belgium,, Finland,,Denmark,, Austria,, zingine nimesahau,, ila mfano France,,,ukiwa unafanya kazi unakatwa pesa Fulani kwa mwezi ,,,kwa ajili ya kusaidia kuwalipa wale ambo hawana kazi,,,ukiwa si mfanyakazi wanakula euro 800,,,na wale wanafanya kazi wakistaafu wanakula euro 1300 kwa mwezi,,France wana benefit nyingi sn kwa raia wake,,,mfano ukiwa na mtoto anapewa euro 300 kila mtoto kwa mwezi,,,back to schools,,,kila family itapokea euro 400 kwa kila mtoto kwa ajili ya mtoto kurudi shule,,,,family inapoamua kuhama makazi family itapokea euro 900 kusaidia kuhama kwa watoto 3,,,na ni watoto kuanzia 0 aged to under 20 ,,,mfano mfaransa akiwa jela,,,,atalipwa euro 20 ndani za kujikimu kila mwezi,,, na miezi sita kablahajatoka anaandaliwa mazingira ya kazi huko nje na anaandaliwa nyumba mpya na kodi ya miezi 3 analipiwa akitoka anafikia kwenye nyumba hiyo kama Hana pa kwenda.....
Ninaposema Africa ni mwituni nilimaanishaDuuuuuuuuh walllah npo tayar kufia huko France, lazima nizamie hukoooh
Kuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata passport. Safari ilimpeleka mpaka Libya lengo ni kwamba ilikuwa aingie Morroco then wavushwe kuelekea Spain.
Katika safari hiyo alikutana na majanga mengi sana sana. Amenusurika kufa zaidi ya mara 20 tena akiwa ameshaona kaburi.
Sasa anadai akiwa Libya, anadai walibya ni wabaguzi sana hasa kwa Waafrika wenzao weusi. Anadai ukipanda usafiri wa umma wanawake walikuwa wanaziba pua. Anasema muda mwingine ulikuwa ukipita mtaani unaona mama anaokota jiwe anampa mwanae akurushie.
Anadai sasa kimbembe uje ukutane na vijana walikuwa wanajiita Aska Boys (sina hakika kama nimewapatia). Anasema walikuwa wanatabia wanakuja na magari wanakuweka mtu kati, wanafungua boot wanatoa marungu, watakupiga mpaka ufe.
Sasa anasema akiwa Libya, alikuwa hana pesa kabisa na kutoka Libya ili uvushwe uende Morocco mpaka upande boat kuendelea na safari, ilikuwa inahitajika pesa nyingi. Yeye kwa muda huo aliikuwa ashageuka kuwa kama chokoraa. Na kipindi hicho mauaji kwa wageni yakawa yameongezeka.
Anadai katika kundi lao allikuwepo jamaa katoka Ethiopia ni Muorthodox alikuwa akisali sana sana. Jamaa akamfuata akamwambia amsaidie pesa kidogo ili aweze kuondoka pale maana wenzake walikuwa wengi wao wana mpango wa kuondoka baada ya hali kuwa mbaya.
Jamaa eti akamuuliza, huna mtu anayeweza kukutumia pesa. Jamaa akamwambia sina ila kuna kaka yangu ana pesa nyingi sana ila hawezi kunipatia pesa maana hata hii safari nimeianza kwa kumkumbia yeye alikuwa anataka kuniua. Jamaa akamwambia, usiku njoo nikufanyie maombi, lakini iwe saa tisa usiku.
Kweli usiku wa saa tisa akaenda, eti jamaa akachora chora mviringo sakafuni akamwambia aingie kati, kisha wakaanza kumuombea yeye na wenzake.
Baada ya maombi akamwambia asubuhi kampigie simu kaka yako, mwambie akutumie dollar 2000, atakutumia. Usipunguze na wala usiongeze. Jamaa anadai kesho yake akaenda sehemu ya kupiga simu akampigia simu kaka yake, alipomueleza hakubisha kabisa ila akamwambia atamtumiaje ile pesa.
Kipindi hicho anasema Libya kulikuwa hakuna huduma za Western Union, wala Money Gram. Anadai watu walipokuwa wakitaka kupokea pesa, kulikuwa na mzungu raia wa Spain pale ana ofisi iko kisiwa cha Lampedusa, hivyo pesa inatumwa kwenda Lampedusa, akiconfirm imefika kule unaenda kwake anakupa cash pale Libya.
Basi jamaa akawa ametumiwa pesa akaondoka pale. Japo huko mbele alipata majanga mengine.
Jamaa alifanikiwa fika Mexico, Equador na huko pia alipata majanga hadi akapoteza korodani baada ya kuanguka mikononi mwa drug dealers.
Kubaniwa pua na wamama wa Libya ndiyo kutaka kuuwawa?Kuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata passport. Safari ilimpeleka mpaka Libya lengo ni kwamba ilikuwa aingie Morroco then wavushwe kuelekea Spain.
Katika safari hiyo alikutana na majanga mengi sana sana. Amenusurika kufa zaidi ya mara 20 tena akiwa ameshaona kaburi.
Sasa anadai akiwa Libya, anadai walibya ni wabaguzi sana hasa kwa Waafrika wenzao weusi. Anadai ukipanda usafiri wa umma wanawake walikuwa wanaziba pua. Anasema muda mwingine ulikuwa ukipita mtaani unaona mama anaokota jiwe anampa mwanae akurushie.
Anadai sasa kimbembe uje ukutane na vijana walikuwa wanajiita Aska Boys (sina hakika kama nimewapatia). Anasema walikuwa wanatabia wanakuja na magari wanakuweka mtu kati, wanafungua boot wanatoa marungu, watakupiga mpaka ufe.
Sasa anasema akiwa Libya, alikuwa hana pesa kabisa na kutoka Libya ili uvushwe uende Morocco mpaka upande boat kuendelea na safari, ilikuwa inahitajika pesa nyingi. Yeye kwa muda huo aliikuwa ashageuka kuwa kama chokoraa. Na kipindi hicho mauaji kwa wageni yakawa yameongezeka.
Anadai katika kundi lao allikuwepo jamaa katoka Ethiopia ni Muorthodox alikuwa akisali sana sana. Jamaa akamfuata akamwambia amsaidie pesa kidogo ili aweze kuondoka pale maana wenzake walikuwa wengi wao wana mpango wa kuondoka baada ya hali kuwa mbaya.
Jamaa eti akamuuliza, huna mtu anayeweza kukutumia pesa. Jamaa akamwambia sina ila kuna kaka yangu ana pesa nyingi sana ila hawezi kunipatia pesa maana hata hii safari nimeianza kwa kumkumbia yeye alikuwa anataka kuniua. Jamaa akamwambia, usiku njoo nikufanyie maombi, lakini iwe saa tisa usiku.
Kweli usiku wa saa tisa akaenda, eti jamaa akachora chora mviringo sakafuni akamwambia aingie kati, kisha wakaanza kumuombea yeye na wenzake.
Baada ya maombi akamwambia asubuhi kampigie simu kaka yako, mwambie akutumie dollar 2000, atakutumia. Usipunguze na wala usiongeze. Jamaa anadai kesho yake akaenda sehemu ya kupiga simu akampigia simu kaka yake, alipomueleza hakubisha kabisa ila akamwambia atamtumiaje ile pesa.
Kipindi hicho anasema Libya kulikuwa hakuna huduma za Western Union, wala Money Gram. Anadai watu walipokuwa wakitaka kupokea pesa, kulikuwa na mzungu raia wa Spain pale ana ofisi iko kisiwa cha Lampedusa, hivyo pesa inatumwa kwenda Lampedusa, akiconfirm imefika kule unaenda kwake anakupa cash pale Libya.
Basi jamaa akawa ametumiwa pesa akaondoka pale. Japo huko mbele alipata majanga mengine.
Jamaa alifanikiwa fika Mexico, Equador na huko pia alipata majanga hadi akapoteza korodani baada ya kuanguka mikononi mwa drug dealers.
inaonekana france kuna bata balaa sasa balotel nn kinamshnda mpaka anasema anataka kurud africa na atacheza ligi za africaMkuu inchi zinazotoa allowance kubwa kwa raia wake kwa mwezi ni France,,,Italy,,Belgium,, Finland,,Denmark,, Austria,, zingine nimesahau,, ila mfano France,,,ukiwa unafanya kazi unakatwa pesa Fulani kwa mwezi ,,,kwa ajili ya kusaidia kuwalipa wale ambo hawana kazi,,,ukiwa si mfanyakazi wanakula euro 800,,,na wale wanafanya kazi wakistaafu wanakula euro 1300 kwa mwezi,,France wana benefit nyingi sn kwa raia wake,,,mfano ukiwa na mtoto anapewa euro 300 kila mtoto kwa mwezi,,,back to schools,,,kila family itapokea euro 400 kwa kila mtoto kwa ajili ya mtoto kurudi shule,,,,family inapoamua kuhama makazi family itapokea euro 900 kusaidia kuhama kwa watoto 3,,,na ni watoto kuanzia 0 aged to under 20 ,,,mfano mfaransa akiwa jela,,,,atalipwa euro 20 ndani za kujikimu kila mwezi,,, na miezi sita kablahajatoka anaandaliwa mazingira ya kazi huko nje na anaandaliwa nyumba mpya na kodi ya miezi 3 analipiwa akitoka anafikia kwenye nyumba hiyo kama Hana pa kwenda.....
mandonga ndo nn mzeeMkuu sikutaka kukaa ulaya,,,nikuwa Italy na Spain mwaka 2015 /2016 nikarudi bongo,,nikaenda tena Swiss nikawa France 2019 kwahyo mm sikutaka kukaa kule,,,sababu ya shughuli zangu,,,.now nipo kwenye mandonga,,,,
Si kila inchi ulaya inalipa pesa,,,ndy maana watu wanatafuta inchi nzr ya kujipiga,,,ili upate benefit baadae,,,mfano,.France,, Belgium,, Italy,,Finland,,Denmark,, Austria,,Sweden,,Greece,,swiss,, nk..kila ichi ina benefit zake kwa raia zake,,huwa hazifanani...lakini hizo inchi zinatoa pesa kwa raia,,na hata migrants
Mkuu Mimi nilikaa kama miezi sita hivi,, pale maisha yanategemea kufanya kazi viwandani mfano viwanda vya nguo,,,nk,,au kuhangaika mitaani,Mkuu hebu elezea kidogo maisha ya turkey yapoje?yaan hii nchi natamani sana kufika
inaonekana france kuna bata balaa sasa balotel nn kinamshnda mpaka anasema anataka kurud africa na atacheza ligi za africa
Kweli aseeeehNinaposema Africa ni mwituni nilimaanisha
Vipi kuhusu nchi ya Canada
Melini Mkuumandonga ndo nn mzee
Nimejikuta nimecheka sana
Canada nzr sn,,ila walininyima viza mwaka 2018
Mkuu
Are u serious ?
Nachojua ulaya mashariki ni tofauti sana na Ulaya magharibi