Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,103
Huko penpal Nina marafiki kadhaa , mmojawapo ni huyu anaitwa Chriss alikuja bongo mwaka Jana kipindi Cha sikukuu.Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
Huko penpal Nina marafiki kadhaa , mmojawapo ni huyu anaitwa Chriss alikuja bongo mwaka Jana kipindi Cha sikukuu.
Ni mmarekan ila alitokea Malawi alikuwa anafanya kazi na peacecorps.
View attachment 1476462
Penpal imebikuranisha na wagen wengi mpaka Sasa Nina account huko tangu mwaka 2010 na iko active.. kwa mfano mwez Jana Kuna huyu Beberu alibicheki hewan anafanya kazi tieto anaifukuzia fursa za kufanya kazi tz..Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
Hahaha kwanini hukuchukua fursa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4][emoji4][emoji4] kuna mzungu mmoja alikuja 2005kama sikosei alikuja kufunga mamitambo ya beni fulani mpya mpya..bas akanipendaga...kipindi hicho naingia chuo ...ametokea Malawi...akawa anashangaa anakuita unakuja alone..anasema Malawi ukimtongoza mmalawi anakuja na ndugu zake au family nzima .dah.. [emoji24][emoji24][emoji24]
anaye fake marriage ni mwanaume au mwanamke?True ndugu zangu wengi wameenda kwa njia ya kutumia akili zaidi ikiwemo ya kufake marriage, lakini sio kuzamia
Hivi hujuwi kama mkimbizi ana haki zake? mkuu hujuwi kama raia ulaya analipwa?tena zipo inchi zinalipa hadi euro 800 kwa mwezi...Mkuu hizo euro 300 unalipwa kwa shughuli ipi unayoifanya wakati haupo huko ?
Wanasiasa wanakula keki ya taifa peke yao tu.Ukiwa kwenye list ya viongozi wa juu wa ccm uta enjoy maisha ukiwa hapahapa Tanzania. Tatizo ni kwamba wanasiasa washirikina sana
Vijana wa zamani ..hizi ndio ilikuwa story zao ..na ambition zaoLaiti ungevipangilia visa kimoja baada ya kingine ingekua poa sana mkuu, anyway kuzamia miaka 90 mpk 2000 ilikua risky sana na tumepoteza watu kibao tu mkuu.
Nilikua mjinga nadhani...dah...Hahaha kwanini hukuchukua fursa [emoji1][emoji1][emoji1]
Tanzania soon itakuwa kama Ethiopia. Viongozi wanaendeleza maendeleo ya vitu huku wakisahau maendeleo ya watuSasa cha kushangaza uchumi wa Ethiopia nimubwa kuliko wa Tz lakini raia wa Ethiopia nimasikini sana kuloko raia wa Tz ni Ethiopia peke Africa yenye mradi wa umeme mkubwa kuliko nchi yoyote Africa una gharama ya $1.5bn, watazalisha umeme paka wakuuza nje ya nchi
Kwamba alivutiwa na hali ya wewe kwenda peke yako ?[emoji4][emoji4][emoji4] kuna mzungu mmoja alikuja 2005kama sikosei alikuja kufunga mamitambo ya beni fulani mpya mpya..bas akanipendaga...kipindi hicho naingia chuo ...ametokea Malawi...akawa anashangaa anakuita unakuja alone..anasema Malawi ukimtongoza mmalawi anakuja na ndugu zake au family nzima .dah.. [emoji24][emoji24][emoji24]
Penpal ni nini mkuuPenpal imebikuranisha na wagen wengi mpaka Sasa Nina account huko tangu mwaka 2010 na iko active.. kwa mfano mwez Jana Kuna huyu Beberu alibicheki hewan anafanya kazi tieto anaifukuzia fursa za kufanya kazi tz..
View attachment 1476473View attachment 1476475
Mimi huwa najua ni story tuHivi hujuwi kama mkimbizi ana haki zake? mkuu hujuwi kama raia ulaya analipwa?tena zipo inchi zinalipa hadi euro 800 kwa mwezi...
Nop..alikua ananiambia sehem alizopita Africa akaon Tzee panauafadhariKwamba alivutiwa na hali ya wewe kwenda peke yako ?
Kweli Mkuu,,, ni kama mwituni,,,kwanj mwituni wanaotamba ni wale Wanyama wakali kama SIMBA,,,Chui,,na fisi ,,na Mbwa mwitu,,Wanyama kama swala,,nyumbu pundamilia na wale wote wanaokula majani,,,,hakika shughuli wanazopata kila mtu anazifahamu..ni sawa na Africa...wale wenzetu wenye mamlaka fulani,,,au wapambe wa wenye mamlaka ,, au wenye pesa ndy wanaotamba,,,,africa..yapo mambo mengi sana ukiyatafakari kwa kina pasi na shaka,,Africa ni mwituni...ila ukikaa ukawaza vzur utagundua kweli africa tyupo mwitun yaan
watawala ndo miungu watu...wanaweza kufanya lolote linalowajia akilin yan wanaweza sema hata watu watembee uchi na asiwepo wa kubisha
wakigundua mtu n tajir utawaskia "tunachunguza chanzo cha utajiri wako" akat kuna maskin lukuki na hakuna aaechunguza chazo cha umaskin wao
yaan bongo daaaah
Daaaa et unatafutiwa patna wa kukuliwaza ***** so unaenda kuliwa kiboga kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Yes mkuu , mambo ya kurudi nyuma ni michoshoAhahaaa...mbele kwa mbele Kama ccm