ila ukikaa ukawaza vzur utagundua kweli africa tyupo mwitun yaanMuda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
Huo ni mtazamo wangu mkuu!Kwani hapo bongo pana mikosi gani mkuu? pakoje yaani?
ila ukikaa ukawaza vzur utagundua kweli africa tyupo mwitun yaan
watawala ndo miungu watu...wanaweza kufanya lolote linalowajia akilin yan wanaweza sema hata watu watembee uchi na asiwepo wa kubisha
wakigundua mtu n tajir utawaskia "tunachunguza chanzo cha utajiri wako" akat kuna maskin lukuki na hakuna aaechunguza chazo cha umaskin wao
yaan bongo daaaah
Sawasawa boss...na sisi tunawatafutia maisha wao..sio sisi tenaTusiwe selfish kwa watoto wetu, wakati wetu huenda unapita, tena kwa kasi ya mwanga, tutulizane tuwalee.
Nadhan imejipost nakuja ona nw...! Ah huku mie naboreka kinyama...bas tuSasa mtu umefikia mafanikio hayo unatangatanga nini huko majuu[emoji23]stay home na ulee hao vijana. BTW hongera sana, nimeona contemporary moja matata sana, mwanamke jabali.
Ahahaaa...mbele kwa mbele Kama ccmWatu wanapambana asee.
. Ila kurudi nyuma ni udwanzi .mbele kwa mbele ndo mpango.
...wewe sema tu asanteNadhan imejipost nakuja ona nw...! Ah huku mie naboreka kinyama...bas tu
Una uhakika katokea Arusha ?Una tone ya kiume japo wewe ni mwanamke sijui binti hadi nacheka ila kwakuwa umetokea arusha naelewa.
Yah fanya mpange uzamie Korea Kusini
Mkuu nimekwambiya kila mtu ana sababu zake kwann unajilipua ulaya,,hata mm nilishindwa kujilipua Greece nikiwa na umri wa miaka 32 ..na kilichonifanya nirudi ni kutopata nafasi ya kupata makaratasi kwa wakati,,,na bado kuna watu hadi Leo mwaka wa 12 wapo pale hawajapata makaratasi,,, kama ingekuwa kusubiri miaka 2 isingekuwa tatizo kusubiri,,,kuna watu shida yao ni makaratasi tu,,kuna watu shida yao kuishi ulaya...unaweza ukajilipuwa kwa miaka miwili ,,ikakusaidia miaka ijayo....kumbuka unapojilipuwa kuna pesa unapewa za kujikimu,,,mfano euro 300 utalipwa kila mwezi,, hazitoshi kusaidia family wakati ukisubiri makaratasi? Kinachoumiza watu wengi ni wivu...At 40+ una familia, either mke na watoto tena wanaoenda shule kabisa, una kazi(hata kama sio ya kipato kikubwa), hutakiwi kujifikiria wewe kama wewe, at 20+ unawaza "mimi", huna majukumu ya kifamilia hivyo kujilipua ni rahisi sana. Sasa mdada upo 30+ na watoto watatu unamuachia nani hao watoto ili ukahaso majuu, tena uende uingereza leo hii hadi utoboe utaona aibu hata kurudi bongo.
naona unaelekea kubadilisha dhamira ya huu uziHakika ccm ni chama chetu tumekichagua kaka
Mkuu hizo euro 300 unalipwa kwa shughuli ipi unayoifanya wakati haupo huko ?Mkuu nimekwambiya kila mtu ana sababu zake kwann unajilipua ulaya,,hata mm nilishindwa kujilipua Greece nikiwa na umri wa miaka 32 ..na kilichonifanya nirudi ni kutopata nafasi ya kupata makaratasi kwa wakati,,,na bado kuna watu hadi Leo mwaka wa 12 wapo pale hawajapata makaratasi,,, kama ingekuwa kusubiri miaka 2 isingekuwa tatizo kusubiri,,,kuna watu shida yao ni makaratasi tu,,kuna watu shida yao kuishi ulaya...unaweza ukajilipuwa kwa miaka miwili ,,ikakusaidia miaka ijayo....kumbuka unapojilipuwa kuna pesa unapewa za kujikimu,,,mfano euro 300 utalipwa kila mwezi,, hazitoshi kusaidia family wakati ukisubiri makaratasi? Kinachoumiza watu wengi ni wivu...
Siyo kila mtu anaweza kuishi ugenini. Nakumbuka hata wengi ya wazazi wetu waliokulia vijijini ukiwaleta sehemu kama Dar kuishi huwa wanageuza mapema sana. Tena unakuta wakiwa Dar ndiyo wanakula na kunywa vizuri na kila kitu kipo. Wapo radhi waende kuishi kijijini kwenye kila aina ya dhiki kuliko kukaa mjini.Ni basi tu Watu tuna mitazamo tofauti.
Nilienda nchi moja ya Asia kwa shughulu halali na kufuata taratibu zote lakini baada ya miezi miine tu nilianza kujiona kama nipo utumwani...na hapo wala sijawahi kukutana na hali ya kubaguliwa wala nini...ni kero chache tu za misosi.
Siku nimerudi ingawa nilishukia Kenya lakini nilijisikia kama tayari nimefika Bongoland.
Ni basi tu Watu tuna mitazamo tofauti.
Nilienda nchi moja ya Asia kwa shughulu halali na kufuata taratibu zote lakini baada ya miezi miine tu nilianza kujiona kama nipo utumwani...na hapo wala sijawahi kukutana na hali ya kubaguliwa wala nini...ni kero chache tu za misosi.
Siku nimerudi ingawa nilishukia Kenya lakini nilijisikia kama tayari nimefika Bongoland.
Sema corona imetuharibia sana nilikuwa nafanya kazi na Mabeberu sana hususan Dada zao. Mwaka huu nilikuwa nimepanga lazima niwe mbele maana Nina marafiki kibao sema nilikuwa sijawapa wazo la kuzamia.Ila kweli tunepishana sana jamani!
Sema corona imetuharibia sana nilikuwa nafanya kazi na Mabeberu sana hususan Dada zao. Mwaka huu nilikuwa nimepanga lazima niwe mbele maana Nina marafiki kibao sema nilikuwa sijawapa wazo la kuzamia.
Naona CCM imeamua kuleta corona kutuharibia mipango yetu. Kweli Africa n laana.
Huyu kwenye picha ni moja ya demu wa kibeberu aliwahi kuja bongo huwa haipiti wiki hajanicheki.
View attachment 1476439
Acha tu najutiaHhhaaa ila kweli tunapishana sana sana
Ile miaka watu walikua na morale sana ya kujilipua watoto wa gomz daslamu na Tanga wengi walijilipua sana..mpaka sasa si ajabu kukuta kuna familia ambazo wana ndugu wako "mbele" kwa wale ambao walitusua!
Sasa cha kushangaza uchumi wa Ethiopia nimubwa kuliko wa Tz lakini raia wa Ethiopia nimasikini sana kuloko raia wa Tz ni Ethiopia peke Africa yenye mradi wa umeme mkubwa kuliko nchi yoyote Africa una gharama ya $1.5bn, watazalisha umeme paka wakuuza nje ya nchiImeendelea kwa uchumi wa vitu lakini watu wenyewe wana maisha magumu. Graduate unakuta anapokea mshahara labda laki mbili na vitu bei ghali. Kumiliki gari hata vitz ethiopia si jambo la mchezo maana vitz hizi hapa unainunua used dubai na ushuru milion 8 kuna haikawii fika 20 mls za kitz
Dah!...noma sanaYah ni kati ya mikoa ya libya ambapo 91% ni jangwa. Jamaa anakwambia ukiwa katika lile jangwa hujui N, S, E, W ni wapi. Anakwambia maisha ya wakazi wa pale ambao nao ni wachache wamejenga vijumba vya udongo ni magumu sana sana sana. Ndiyo maana anasema hata nzi wa pale ni masikini sana. Anakwambia kuna mbuzi na kondoo chache nao wanaishi kwa kula karatasi na vitu vya ajabu na ajabu kusurvive