Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Ndio maana tunasema Lissu aachana na wapumbavu hawa hata hawamjali wamesharudi kwa wasaanii na mipira ya simba na yanga na kusahau kila kitu
Lisu anapenda mizuka
Watz wanajua kumpa mizuka ila asitegemee support ya maana kutoka kwao.
 
Nakazia hapa 🤣🤣

Japo watu wanamlaani na kumtukana sana ila kimoyo moyo watu wanafurahia kupewa hiyo fursa huku baadhi wakitaka ibaki kuwa siri wengi wasijue
Wewe ni mjinga kama huyo, yani ukate ticket Dar to Moro halafu siku hiyo mifumo imesomana vizuri kuna watumishi walishabook Moro to Dodoma lazima ushushwe kwenye treni ukale ujanja wako.
 
Waafrika ni ngozi ya kuonea huruma sana, umekata tiketi ya economy, unazamia business, ili iweje? Kwa nini usiishi kulingana na ulichonacho?
Analioa business ila ya kuishia morogoro kisha yeye anaendelea mpaka dodoma
 
Utakimbia chooni mara ngapi?
 
Unakipaji nimeiona potential yako!!!
Tanzania tungekua na akili za kutosha MTU kama wewe unepewa special mission abroad na ikaisaidia taifa kuendelea
 
Vipi sasa ikitokea kuna kituo anapanda abiria kwenye hiyo seat? Si utadhalilika mkuu?

Sema Royal jamani wadada hawatulii muda wote kujipitisha..!!

Nilipanda naenda Dom, seat ya pembeni wapo mkaka na demu wake. Yule mkaka muda wote ananikonyeza 😹😹

Alikuwa anakunywa Heineken,
Wewe mkaka mrefu mweusi uache umalaya..!! 😹
 
Nchi hii ukipata mianya ya kukwepa kodi we fanya tu

Ukipata mwanya ww kupata huduma nzuri kwa bei nafuu wewe fanya hivyo

NB:
Wanaokulaumu wote matackle yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…