DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,965
- 30,832
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
70% ya watanzania wanaendana na aina ya watawala tulionao.Shirika likifa mnalaumu CCM na Abdully
Inzi angeacha ujinga kama wako angeweza kuzalisha asali.Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Mabadiliko yanaanzia kwako,Kila mtu akisema afanye kama usemavyo nchi itakuwepo kweli, viongozi kuiba siyo sababu ya wewe uanze kuiba au ku-misuse resources, Tunawafunza nini watoto wetu wa sasa,na Legacy yetu itakuwaje?Wabongo acheni unafiki,viongozi wenu wenyewe wanashindana kuwapiga vikodi vyenu halafu bado mnaigiza ulokole! Reports za CAG huwa hamfuatilii madudu yake?
Kama nafasi ipo wewe manipulate mifumo kama Bwa'mdogo!
Yaani wewe na wenzio 998? Ndo maana mashirika ya umma yanapata hasara kila ripoti ya CAG.Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Ndio maana tunasema Lissu aachana na wapumbavu hawa hata hawamjali wamesharudi kwa wasaanii na mipira ya simba na yanga na kusahau kila kitu70% ya watanzania wanaendana na aina ya watawala tulionao.
Kumtetea Mtz inahitaji moyo.😂😂😂😂Ndio maana tunasema Lissu aachana na wapumbavu hawa hata hawamjali wamesharudi kwa wasaanii na mipira ya simba na yanga na kusahau kila kitu
Tanzania Railways Corp mtu wenu huyu hapa nawakabidhi kwa uaminifu mkubwa. Mnaweza wenyewe kunifikiria kaposho kadogo tu ka bilioni moja hivi kwa kufanikisha hili zoezi.Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Unalipa 50k halafu unakaa kwemye train roho juu safari nzima,mara ukajifiche chooni mara ujidai unaongea na simu si bora ulipe hadhi yako 31k ukae kwa raha safari nzimaUnalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Huyu ni mwizi sawa na wezi wengine, yani ukate ticket ya Dar to Moro halafu uende mpaka Dodoma hiyo inamake sense?Unalipa 50k halafu unakaa kwemye train roho juu safari nzima,mara ukajifiche chooni mara ujidai unaongea na simu si bora ulipe hadhi yako 31k ukae kwa raha safari nzima
View attachment 3683000
Inspection zao ni random. Business class hawafuatilii sana. Ila jamaa kawasanua sasa wanajua kuna wapuuzi na vibaka huwa wanapanda humoHuyu ni mwizi sawa na wezi wengine, yani ukate ticket ya Dar to Moro halafu uende mpaka Dodoma hiyo inamake sense?
Halafu hata hao TT watakuwa wazembe kama hawana system ya kuona Dar mpaka Moro watashuka abiria wangapi.
Simshauri mtu mimi kufanya ujinga huu utakuja kudhalikika kwa kitu cha kipumbavu.
Kafie mbeleUnalipa 50k halafu unakaa kwemye train roho juu safari nzima,mara ukajifiche chooni mara ujidai unaongea na simu si bora ulipe hadhi yako 31k ukae kwa raha safari nzima
View attachment 3683000
Ndio kizazi chetu cha trendingHuyu sijui ni mtoto wa 2000,kila uchao tunalalama,maadili maadili! Halafu mwana JF kabisa anakuja Kuandika UHARO kama huu. Wimbo wa Michael Jackson "Man in the mirror" huwa una maana sana sema watu huwa hatuzingatii maneno yake.
Samahani sijasapoti wizi wako.Kafie mbele
Alijua atapata sapoti ya wezi wenzie.Ndio kizazi chetu cha trending
Hivi nyie CHADEMA mnakuaga na shida gani? Mkitoka hapo hoo Tanzania hamna amani..sijui nini?Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Na si ajabu aja wai ipanda ila kakaaa kawaza ivyo tu kaamaua ashushe uziAlijua atapata sapoti ya wezi wenzie.
Huitaji kusapoti.Samahani sijasapoti wizi wako.