Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu Watanzania 30 waliozamia nchini Afrika Kusini na kurudishwa nchini, baada ya kukiri na kutiwa hatiani kwa mashitaka ya kuondoka nchini kinyume cha sheria za uhamiaji.

Washitakiwa hao ambao walifikishwa mahakamani hapo jana, walisomewa mashitaka hayo kwa mahakimu wawili tofauti.

Hakimu Mkazi Mwandamizi, Agustina Mbando, aliwahukumu wazamiaji 16 kutumikia kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 300,000 kila mmoja baada ya kukiri mashitaka yao.

Washitakiwa hao ni Omar Kaulu, Dominic Fabric, Sefu Mohammed, Hamad Hashiri, Asbawi Omar, Abdallah Hamad, Razan Ally, Moosa Salimu, Mawki Ally, Daniel Joshua, Amari Abduli, Abdullah Ramadhan, Mohammed Tuwa, Aziz Mohammed, Rajabu Shamanism na Adam Seifu.

Alisema kutokana na makosa hayo kujirudia, kila mshitakiwa atatakiwa kutumikia kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 300,000.

Kabla ya kutolewa adhabu hiyo, Wakili wa Serikali, Godfrey Ngwijo, aliiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali kwa washitakiwa kwa sababu utaratibu wa kutoka nje ya nchi unafahamika.

Washitakiwa hao kwa nyakati tofauti waliomba mahakama iwapunguzie adhabu kwa sababu wamekaa sana gerezani walipokuwa Afrika Kusini na kwamba wameikosea Serikali ya Tanzania pamoja na serikali waliyotoka hivyo wapewe onyo na kupunguziwa adhabu.

Awali, akisoma mashitaka Ngwijo alidai washitakiwa hao walitoka nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinyume cha kanuni za uhamiaji namba 20 (3) (a) G.N namba 657 ya mwaka 1997 inayosomwa pamoja na kifungu namba 48 (2) ya Sheria ya Uhamiaji namba 54 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016.

Alidai Januari 21, mwaka huu maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), washitakiwa hao wakiwa raia wa Tanzania walikutwa wakiwa wametoka nje ya nchi bila kufuata utaratibu wa kutoka nchini kwenda Afrika Kusini kwa kupitia mipaka inayojulikana.

Washitakiwa wote walikubali mashitaka hayo na upande wa mashitaka uliwasomea maelezo ya awali, ambapo ulidai tarehe zisizofahamika washtakiwa kwa nyakati tofauti walitoka Tanzania na kuingia Afrika Kusini bila kufuata taratibu.

Ngwijo alidai washitakiwa walikamatwa nchini Afrika Kusini na kuletwa Tanzania na kwamba walifikishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na na kasha kupelekwa Ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuchukuliwa maelezo.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Salum Ally, aliwahukumu washitakiwa 14 kutumikia kifungo cha miezi 18 jela au kulipa faini ya Sh 50,000 kila mmoja, baada ya kukiri kosa hilo.

Washitakiwa hao ni Adam Luzz, Suleiman Saidi, Kapaya Fredric, Semboko Abubakari, Mambosasa Francis, Juma Mhina, Chale Othoman, Salehe Iddy, Mohammed Kassim, Hassan Ally, Boban Abed, Abdul Kessy, John Joseph na Mawazo Frank.

Baadhi ya washitakiwa wamelipa faini na kuondoka mahakamani hapo pamoja na ndugu zao. Hata hivyo, wakati washitakiwa hao walipofikishwa mahakamani baadhi ya wazazi walidai watoto wao walindoka nchini bila kuwaaga na wengine walilalamika watoto wao kubadili majina.

Chanzo: Habari Leo
Kesi imeenda fasta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye ndugu yake aliyekuwa anaishi Afrika Kusini kinyemela,aende Central Police DSM, wameletwa kama mia na ushee wamerudishwa nyumbani. Mkawape na dhamana.

View attachment 1331598

===

Wamepekejwa jelaaa uzuriwaoo nduguakipataa HELAA hatabàdaya MWEZI wanaruhusiwa KWENDA kulipà na kumtoa mtuhumiwaa
 
MKUUU SIOWOTEEE WAMEZAMIA SAFRICA
S.AFRICA N HUB YA WAKIMBIZI WA NCHI ZETU TOKA MATAIFA MBALIMBALI SO HUMO KUNA WA UHOLANZI WA GERMANY FRANCE NA KWINGINEKO..WANACHOFANYA KAMA N TANZANIA MPAKA WAFIKE 80+ NDIO WANARUDISHWA ..SO UTAKUTA MTU KASHUSHWA JNB ANAKAA MWEZI AMA NANUSU AKISUBIRIA WENZIE WAKITIMIA MZIGOO UNASHUSHWÀ BILA HOFU.....
NIMEWAKUMBUKA SANA NAFURAHI KUONA SAFRICA WANAWAPA NGUO NA VIATU NOW DAYS ZAMAN WAKIPANDA NDEGE UNASIKIA KAMA DAMPO LA TABATA LIMEHAMIA KWENYE NDEGE...NOW DAYS WANAPULIZIWA NA PERFUME KABISAA
 
Lazima tujue gharama za usafiri ni za nani kama ni za serikali na walienda kinyume na taratibu basi watupe nauli zetu.

Huwezi kupeleka pipa SA kubeba wahamiaji haramu.
Hebu dai kwanza pesa zetu zinazonunua midege na kutengeneza miradi mikubwa mikubwa isiyo na tija bila ridhaa yetu, na hivyo kuishia kupandisha deni la taifa ambalo tutalipia sisi; afadhali hawa walikwenda kujaribu maisha; wasamehewe.
 
Nidai pesa zenu!! Kama ni zenu mimi zinanihusu nini?
 
Mwenye ndugu yake aliyekuwa anaishi Afrika Kusini kinyemela,aende Central Police DSM, wameletwa kama mia na ushee wamerudishwa nyumbani. Mkawape na dhamana.

View attachment 1331598

===
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu Watanzania 30 waliozamia nchini Afrika Kusini na kurudishwa nchini, baada ya kukiri na kutiwa hatiani kwa mashitaka ya kuondoka nchini kinyume cha sheria za uhamiaji.

Washitakiwa hao ambao walifikishwa mahakamani hapo jana, walisomewa mashitaka hayo kwa mahakimu wawili tofauti.

Hakimu Mkazi Mwandamizi, Agustina Mbando, aliwahukumu wazamiaji 16 kutumikia kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 300,000 kila mmoja baada ya kukiri mashitaka yao.

Washitakiwa hao ni Omar Kaulu, Dominic Fabric, Sefu Mohammed, Hamad Hashiri, Asbawi Omar, Abdallah Hamad, Razan Ally, Moosa Salimu, Mawki Ally, Daniel Joshua, Amari Abduli, Abdullah Ramadhan, Mohammed Tuwa, Aziz Mohammed, Rajabu Shamanism na Adam Seifu.

Alisema kutokana na makosa hayo kujirudia, kila mshitakiwa atatakiwa kutumikia kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 300,000.

Kabla ya kutolewa adhabu hiyo, Wakili wa Serikali, Godfrey Ngwijo, aliiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali kwa washitakiwa kwa sababu utaratibu wa kutoka nje ya nchi unafahamika.

Washitakiwa hao kwa nyakati tofauti waliomba mahakama iwapunguzie adhabu kwa sababu wamekaa sana gerezani walipokuwa Afrika Kusini na kwamba wameikosea Serikali ya Tanzania pamoja na serikali waliyotoka hivyo wapewe onyo na kupunguziwa adhabu.

Awali, akisoma mashitaka Ngwijo alidai washitakiwa hao walitoka nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinyume cha kanuni za uhamiaji namba 20 (3) (a) G.N namba 657 ya mwaka 1997 inayosomwa pamoja na kifungu namba 48 (2) ya Sheria ya Uhamiaji namba 54 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016.

Alidai Januari 21, mwaka huu maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), washitakiwa hao wakiwa raia wa Tanzania walikutwa wakiwa wametoka nje ya nchi bila kufuata utaratibu wa kutoka nchini kwenda Afrika Kusini kwa kupitia mipaka inayojulikana.

Washitakiwa wote walikubali mashitaka hayo na upande wa mashitaka uliwasomea maelezo ya awali, ambapo ulidai tarehe zisizofahamika washtakiwa kwa nyakati tofauti walitoka Tanzania na kuingia Afrika Kusini bila kufuata taratibu.

Ngwijo alidai washitakiwa walikamatwa nchini Afrika Kusini na kuletwa Tanzania na kwamba walifikishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na na kasha kupelekwa Ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuchukuliwa maelezo.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Salum Ally, aliwahukumu washitakiwa 14 kutumikia kifungo cha miezi 18 jela au kulipa faini ya Sh 50,000 kila mmoja, baada ya kukiri kosa hilo.

Washitakiwa hao ni Adam Luzz, Suleiman Saidi, Kapaya Fredric, Semboko Abubakari, Mambosasa Francis, Juma Mhina, Chale Othoman, Salehe Iddy, Mohammed Kassim, Hassan Ally, Boban Abed, Abdul Kessy, John Joseph na Mawazo Frank.

Baadhi ya washitakiwa wamelipa faini na kuondoka mahakamani hapo pamoja na ndugu zao. Hata hivyo, wakati washitakiwa hao walipofikishwa mahakamani baadhi ya wazazi walidai watoto wao walindoka nchini bila kuwaaga na wengine walilalamika watoto wao kubadili majina.

Chanzo: Habari Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wabongo bana ....
Alaf ni vijana na nguvu zao kabsa yaan!
 
Wahamiaji haramu bado huoni kosa lao?
Kwani hao ni wamalawi useme wamekamatwa wakiishi nchini Tanzania.isivyo halali!? Hao wamekamatwa South Africa na adhabu yao wamepewa huko huko. Ya nini kuwaongezea adhabu !? Au ndio kulazimisha mapato?
 
Shida wanayokabiliana nayo vijana hawa wakishafika huko,ni kwamba yale matarajio walitotegemea kupata inakuwa tofauti hivyo wanajikuta njia panda..nirudi nyumbani (nitachekwa)...option wanayobaki nayo ni kuendelea kuteseka na kulala mabarabarani
Wengi wanakwenda hawana hata kianzio cha kupanga chumba cha kuishi. Badala yake anaaanza kuzulura na kulala mitaani hapo lazima unaswe tu.

Sent using mazonge yamezidi
 
Hao wote wamepanda ndege baada ya kurudishwa bongo na Air Tanzania ila hao Polisi hawajawahi kupanda ndege Wala kufika Sauzi.
Hao ni mashujaa na sio wahalifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujanja liwalo na liwe. Get rich or die trying ...
Hiki kizazi cha kiume kimejaa uoga utadhani ni kizazi Cha kike.

Ujue hili Christopher Columbus alisafiri mwenyewe kwa majahazi akifuata upepo usiku na mchana akiwa hajui hata anaelekea wapi Hadi akaibukia Marekani ambako hakuwa na ndugu wala mzazi na akatanikiwa kuigundua USA na kuitambulisha dunia kwamba Kuna nchi inaitwa USA.

Waache watoto wa kiume wa Dar waendelee kucheza chura na Dada zao wanaume wa kweli wanarisk hata kufa Hadi watoboe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom