Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Lazima tujue gharama za usafiri ni za nani kama ni za serikali na walienda kinyume na taratibu basi watupe nauli zetu.

Huwezi kupeleka pipa SA kubeba wahamiaji haramu.
Acha kuchangia kitu usichokijua,chukua muda hata kwa kujisomea ili upate Facts,gharama za hawa kurudishwa ni kodi wa wananchi wa south Africa sio ya kwetu.
 
Sidhani kama hili ni la Magu... Hizi ni operation za mara kwa mara... Hata hapa nchini kila wakati wanakamatwa na kurudishwa makwao
Eee Bwana wee! Asante kwa taarifa Mshana Jr. Pongezi ziende kwa Rais Magufuli! Hawa jamaa walikuwa wanaishi huko SA maisha hatarishi ya kuidhalilisha nchi! Nawafahamu wengi walikuwa wanalala chini ya nguzo za barabara za juu (flyover) na kwenye makaravati wanaendesha maisha yanayodhalilisha utu na taifa letu. Hata nauli ya kurudi walikuwa hawana hata kurudi hawataki kwasababu ya aibu na kuingia SA kinyume cha utaratibu. Vijana komaa nchini mwenu! Haya mambo ya kuzamia nchi za watu bila utaratibu matokeo yake haya!

Jr[emoji769]
 
Shida wanayokabiliana nayo vijana hawa wakishafika huko,ni kwamba yale matarajio walitotegemea kupata inakuwa tofauti hivyo wanajikuta njia panda..nirudi nyumbani (nitachekwa)...option wanayobaki nayo ni kuendelea kuteseka na kulala mabarabarani
 
Acha kuchangia kitu usichokijua,chukua muda hata kwa kujisomea ili upate Facts,gharama za hawa kurudishwa ni kodi wa wananchi wa south Africa sio ya kwetu.
Sina shida tena ya kujua. Endelea kujua wewe.
 
Wamepigwa kitu kinaitwa repatriation na serikali ya south kwa kuishi na kufanya kazi nchini humo kinyume cha sheria
Repatriation ni mbaya kwakuwa haikupi nafasi ya kujiandaa wala kufungusha wala kuaga.. Unazolewa utakapokutwa na kupelekwa lupango kama ulikuwa na mali zozote ndio basi tena... Hata begi lako nyumbani huruhusiwi kulifuata.. Unarudi kwenyu mikono mitupu na nguo ulizovaa tuu...
Wanawake wa south ni wajanja sana.. Ukiwa naye anahakikisha unafanya kazi kwa bidii na kupata mali nyingi... Kisha anakuchimesha unabebwa unaacha kila kitu
Kuhusu usafiri serikali yako kupitia ubalozi husika hubeba gharama ambazo ukishindwa kuzirejesha ni kifungo miezi sita au mitatu nadhani
Gharama hujumuisha
Kukamatwa
Kuhifadhiwa mahabusu
Nauli ya kurudishwa kwenu
Shida wanayokabiliana nayo vijana hawa wakishafika huko,ni kwamba yale matarajio walitotegemea kupata inakuwa tofauti hivyo wanajikuta njia panda..nirudi nyumbani (nitachekwa)...option wanayobaki nayo ni kuendelea kuteseka na kulala mabarabarani

Jr[emoji769]
 
Hapa ndipo nawapenda wanigeria .Mhamiaji haramu mnigeria ukimpa repatriation ukagonga passport yake PI yaani prohibited immigrant kwenye akifika tu Nigeria airport anaenda immigration moja kwa moja anaenda jaza kuomba passport ingine kuwa hiyo Ina doa la kugongwa PI .Anapewa pole na kupewa passport ingine aendelee na safari zake za kusaka fursa kokote Duniani

Nigeria wameachia hivyo kupunguza tatizo la ajira nchini mwao .Sisi tukamaa na vitu vidogo Kama hivi
 
Walizani wakinyoa vipara hatuta wajua
Sipati picha tukianza kuonana mitaan mara oooh dogo hii ni next level nipo zangu south nakula bata, picha nying instagram vijembe kama vyote kumbeeeee ni wazamiaji pumbavuuuu
 
Wamepigwa kitu kinaitwa repatriation na serikali ya south kwa kuishi na kufanya kazi nchini humo kinyume cha sheria
Repatriation ni mbaya kwakuwa haikupi nafasi ya kujiandaa wala kufungusha wala kuaga.. Unazolewa utakapokutwa na kupelekwa lupango kama ulikuwa na mali zozote ndio basi tena... Hata begi lako nyumbani huruhusiwi kulifuata.. Unarudi kwenyu mikono mitupu na nguo ulizovaa tuu...
Wanawake wa south ni wajanja sana.. Ukiwa naye anahakikisha unafanya kazi kwa bidii na kupata mali nyingi... Kisha anakuchimesha unabebwa unaacha kila kitu
Kuhusu usafiri serikali yako kupitia ubalozi husika hubeba gharama ambazo ukishindwa kuzirejesha ni kifungo miezi sita au mitatu nadhani
Gharama hujumuisha
Kukamatwa
Kuhifadhiwa mahabusu
Nauli ya kurudishwa kwenu
Ila wanaonekana wameoga wametakata, they don't look like chokoraa

Jr[emoji769]
 
Lazima tujue gharama za usafiri ni za nani kama ni za serikali na walienda kinyume na taratibu basi watupe nauli zetu.

Huwezi kupeleka pipa SA kubeba wahamiaji haramu.
Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini ina mkataba wa kubadilishana wahamiaji haramu.Kwa hiyo mara nyingi huwa ni nchi husika kulipia gharama za wahamiaji kuwarudisha kwao.Sisi pia hugharamia Wasomali,Waethiopia na wengine kuwarudisha makwao.Usihofu,kamdhamini nduguyo
 
Back
Top Bottom