Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Hao wote wamepanda ndege baada ya kurudishwa bongo na Air Tanzania ila hao Polisi hawajawahi kupanda ndege Wala kufika Sauzi.
Hao ni mashujaa na sio wahalifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe kupanda ndege ndio unaona ushujaaa na Mafanikio eti? Una dalili zoooote za Shida na Umaskini kwa mawazo haya
 
Waafrika kusini tuliwalisha bure na damu zetu tikachanga kuwapigania Uhuru Leo wanaturudushia watu wetu pumbafu kabisa

Si mnajigonganga kwao oh hawa ndi ndugu zetu...blah blah kibao..kaja rais wao had mkachoma mafuta kuwapeleka mazimbu!..wale wan roho mbaya kwanza wangehamisha tu makaburi yao! mh Anna alikosea sana kuwapokea hawa
 
Mjifunzege nyie watanzania ona mnavyo umia! Kamuzu Banda alikataa ujingaujinga!
 
Afya njema yoote hiii walikuwa wana lala Barabarani? Duuu! wangelala ndani je? basi huko pazuri sana, BOngo walala ndani lkn wanika vikwapa
 
Shida wanayokabiliana nayo vijana hawa wakishafika huko,ni kwamba yale matarajio walitotegemea kupata inakuwa tofauti hivyo wanajikuta njia panda..nirudi nyumbani (nitachekwa)...option wanayobaki nayo ni kuendelea kuteseka na kulala mabarabarani
Acha uongo! km nimezaliwa Mara nimerudishwa nikabaki dar es salaam, Arusha ,Dodoma, nani ananijua huko? hata km nikirudi kwetu Mara nitakaa Sirari, Au Serengeti nani atanijua? napiga kazi weee siku nikitaka narudi Musoma nawambia ndo natoka South! wananichinjia mbuzi na kuniuliza habari za South.
 
Wamepigwa kitu kinaitwa repatriation na serikali ya south kwa kuishi na kufanya kazi nchini humo kinyume cha sheria
Repatriation ni mbaya kwakuwa haikupi nafasi ya kujiandaa wala kufungusha wala kuaga.. Unazolewa utakapokutwa na kupelekwa lupango kama ulikuwa na mali zozote ndio basi tena... Hata begi lako nyumbani huruhusiwi kulifuata.. Unarudi kwenyu mikono mitupu na nguo ulizovaa tuu...
Wanawake wa south ni wajanja sana.. Ukiwa naye anahakikisha unafanya kazi kwa bidii na kupata mali nyingi... Kisha anakuchimesha unabebwa unaacha kila kitu
Kuhusu usafiri serikali yako kupitia ubalozi husika hubeba gharama ambazo ukishindwa kuzirejesha ni kifungo miezi sita au mitatu nadhani
Gharama hujumuisha
Kukamatwa
Kuhifadhiwa mahabusu
Nauli ya kurudishwa kwenu

Jr[emoji769]
Mkuu Mshana jr Benki km CRDB watakubali km nikifungua account, na kutuma kutoka ugenini madola yangu? au hawana utaratibu huo!
 
Ni vyema tukaanzisha zoezi la kugawa passport bure kwa kila kijana aliyefikisha miaka 18 na kutoa ruhusa vijana waende kokote kule duniani kujitafutia maisha iwe kwa VISA FEKI, VISA HARALI cha msingi wafike tu huko waendako, hii inaweza kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wetu hapa bongo maana duniani hapa kuna nchi fursa ziko bwerere na hakuna watu.

Zipo nchi duniani hapa unatakiwa upenye ufike tu, ukishaingia tu kazi zipo na malipo mazuri ni ukakamavu wako tu. Kijana mmoja akitoboa huko ughaibuni anaweza kuvuta vijana wenzie hata watano, Cha muhimu tutoe elimu vijana wetu wapendane na kuthaminiana, lakini pia tuhakikisha vijana wengi wanapata elimu kwa wingi ili wakitokomea huko wasishangae shangae.
Point of view
 
INJII hii!!

South wanawarudisha walioingia isivyo halali na walioingia kihalali lakini wamepitisha muda waliopewa kuishi.,,tena wanarudishwa kwa gharama za serikali ya south.

Ukifika huku tanzania wanakwambiya umetoroka inchini.

Hivi aliyetoroka inchini ana passport?
Mnatishia kumfunga mtu kwa kutoroka ni lini mliwafuga?

Inchi ina mambo ya hovyo kabisa,,sijapata kuona..

Wamerudishwa ,,wafungulie mlango waende makwao..




Ikumbukwe kwamba hata ukiwa umekwenda kihalali south na ukaja ku over stay south Africa ,,pia unaweza kurudishwa nyumbani pia nae katoroka?.
 
Nilikuwa napanga mwezi wa 8 na mimi nikajipachike katlehong, hata kwa miezi miwili nisome upepo wa hela ya south kumbe mambo yenyewe ndio hayo [emoji22] huku na sikia nikifuata sheria nataratibu zote wana weza wakanipa miezi mi tatu au mmoja tu sasa hapo mbona majanga aisee [emoji848]
 
Nilikuwa napanga mwezi wa 8 na mimi nikajipachike katlehong, hata kwa miezi miwili nisome upepo wa hela ya south kumbe mambo yenyewe ndio hayo [emoji22] huku na sikia nikifuata sheria nataratibu zote wana weza wakanipa miezi mi tatu au mmoja tu sasa hapo mbona majanga aisee [emoji848]
Fuataa sheria unapewa hiuo miezi ,kabla/ ikiisha unaenda tena immigration
 
Back
Top Bottom