Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

Eee Bwana wee! Asante kwa taarifa Mshana Jr. Pongezi ziende kwa Rais Magufuli! Hawa jamaa walikuwa wanaishi huko SA maisha hatarishi ya kuidhalilisha nchi! Nawafahamu wengi walikuwa wanalala chini ya nguzo za barabara za juu (flyover) na kwenye makaravati wanaendesha maisha yanayodhalilisha utu na taifa letu. Hata nauli ya kurudi walikuwa hawana hata kurudi hawataki kwasababu ya aibu na kuingia SA kinyume cha utaratibu. Vijana komaa nchini mwenu! Haya mambo ya kuzamia nchi za watu bila utaratibu matokeo yake haya!
 
Hao kwani charges zao inakuwa ni iipi mkuu....ndo tuangalie hayo ya dhamana.....
 
YA...wewe unataka urudishiwe nauli zenu kama unamiliki chombo!!!
Wapi niliposema nataka nauli zirudishwe mbona unalowana mapema hivi!

Jifunze kusoma na kuelewa kuna sehemu nimetaka nauli zirejeshwe? Halafu kitu chochote kile cha serikali ni mali ya mwananchi (umma)
 
Sawa hapo mwisho umekubali ulichodai basi .....imeisha Mzee.
 
Wamepigwa kitu kinaitwa repatriation na serikali ya south kwa kuishi na kufanya kazi nchini humo kinyume cha sheria
Repatriation ni mbaya kwakuwa haikupi nafasi ya kujiandaa wala kufungusha wala kuaga.. Unazolewa utakapokutwa na kupelekwa lupango kama ulikuwa na mali zozote ndio basi tena... Hata begi lako nyumbani huruhusiwi kulifuata.. Unarudi kwenyu mikono mitupu na nguo ulizovaa tuu...
Wanawake wa south ni wajanja sana.. Ukiwa naye anahakikisha unafanya kazi kwa bidii na kupata mali nyingi... Kisha anakuchimesha unabebwa unaacha kila kitu
Kuhusu usafiri serikali yako kupitia ubalozi husika hubeba gharama ambazo ukishindwa kuzirejesha ni kifungo miezi sita au mitatu nadhani
Gharama hujumuisha
Kukamatwa
Kuhifadhiwa mahabusu
Nauli ya kurudishwa kwenu
Serikali ya SA ndio imewarudisha au serikali yetu ndio imewafuata huko.

Jr[emoji769]
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri nimeelewa.
 
Back
Top Bottom